Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kama ni kweli tunahitaji kuwa na umoja wa Afrika ya Mashariki ambao ni imara na wenye tija kwa pande zote, ni lazima Kenya ituhakikishie kuwa itapambana na wahalifu watakaokuwa wanafanya cyberbullying dhidi ya viongozi waandamizi wa Tanzania.
Komaa nao hao washamba wa 254
 
fgtfgbhgt.jpg
 
Tafadhal niruhusu nikukosoe pakubwa. Daily post sio gazeti. Ni web page kwa jina blog. Wala sio maarufu unavyosema. Mwenyewe hajulikani! Do not confuse that with Daily Nation (Nation Media Group).

The blog thrives on clicks. So wanaweka taarifa yenye mvuto kwenye headline. Halafu watu wanaclick hio page kusoma ile taarifa. Most of the time on the body of the post huwa haisemi cha muhimu. No details. At the end of the day the advertisements on the sites are seen by many people and the revenue is higher.

I do not visit that blog due to the reasons above. Vile umeagazia hio story hapa, umewaongezea mapato yao maradafu iwapo wabongo wenzako wataflood kwenye hio page.
Hizi nazo ni nini? Haya sio magazeti ya Kenya haya? Hizi zinabeba extension .ke hazikusajiliwa Kenya?

=Kenyan Lawyer Reported as Magufuli's Baby Mama Issues Statement | Nairobi Times

=Kenyan Lawyer Alleged to be Magufuli's 'Secret Wife' Speaks | Frontliner

=DRAMA AS MAGUFULI’S BABY MAMA SPEAKS OUT AFTER HIS DEATH. - Challyh News

=Kenyan Lawyer Reported as Magufuli's Baby Mama Issues Statement

=Kenyan lady speaks about a report on her relationship with the late President Magufuli
 
Baada ya kuona Rais wa nchi yangu anadhalilishwa kwenye internet (kumbuka internet imefanya dunia nzima kuwa kama kijiji) ulitaka mimi nifanyeje mkuu? Ulitaka nikae kimya? Au ulitaka nilete malalamiko yangu mbele ya umma wa watanzania bila kuweka ushahidi wa kutosha?
Yatangazwe yakiwa
yameambatana na ushahidi wa kutosha. Kulitangaza jambo bila ushahidi huo ni udhalilishaji tu mkuu.

Huna tofauti na mmoja katika kizazi cha nabii Nuhu kilicholaaniwa baada ya kumuona baba yao yuko uchi.
Badala ya kumfunika nguo akakimbilia kuwasimulia ndugu zake.
 
Huna tofauti na mmoja katika kizazi cha nabii Nuhu kilicholaaniwa baada ya kumuona baba yao yuko uchi.
Badala ya kumfunika nguo akakimbilia kuwasimulia ndugu zake.
Mimi nimeziambia mamlaka ambazo ndio zina wajibu kisheria wa kulishughulikia hili.
 
Back
Top Bottom