Kiranja jr
Senior Member
- Feb 21, 2021
- 109
- 127
Matumizi mabaya ya misemo ya wahenga wetu. Kwa hiyo akina Hitler, Mussolini, Idd Amin pamoja na wakoloni waliotawala Afrika na kuchukua rasilimali zetu, walipingwa kwa sababu walikuwa ni mti wenye matunda?Mti wenye matunda
Hii yako wewe mkuu. Ni wape wakoloni pamoja na hao dictators wametajwa katika uzi huu?Kwa hiyo akina Hitler, Mussolini, Idd Amin pamoja na wakoloni waliotawala Afrika na kuchukua rasilimali zetu, walipingwa kwa sababu walikuwa ni mti wenye matunda?
Hapana. Kijana yupo sahihi.Matumizi mabaya ya misemo ya wahenga wetu.
'Magufuli ni Maarufu', huyo Magufuli yupo mkoa gani?Rais wa awamu ya 5
Ndio hapo sasa mkuu. Kenya inasikitisha sana kama wanaweza kuwa na mitandao ya udaku itakayoweza kutumika kufanyia uzandiki pasipo kudhibitiwa.Huyo aliyechapisha ni mpuz ametaka kumchafua tu..
Kwani aliyechapisha yeye ana usafi gani
Ova
Mwinyi Mzee ruksa alisemekana kuruhusu kila kitu wanadai aliuza mpaka mbuga za wanyama, Mzee Mkapa wanadai alibinafsisha migodi yote nchini, Mzee Kikwete nae anazo kashfa za kuendelea ubinafsishaji baadhi ya migodiMbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Daaah, Afrika yetu hii ni shiiida. Sasa twende na Mama Samia Rais wetu kipenzi.Mwinyi Mzee ruksa alisemekana kuruhusu kila kitu wanadai aliuza mpaka mbuga za wanyama, Mzee Mkapa wanadai alibinafsisha migodi yote nchini, Mzee Kikwete nae anazo kashfa za kuendelea ubinafsishaji baadhi ya migodi
Mkuu, hilo gazeti linaandika serious issues nyingi sana, tena lina followers wengi. TCRA wanaweza ku-block hii website.Why uhangaike na udaku mdogo wangu??
Nadhani tunatakiwa kujifunza kwa wenzetu walioendelea, huku kukamiana kwasababu ya mambo yasiyo ya msingi kunachangia kuturudisha nyuma badala ya kusonga mbele.Kwanini udaku unaadikwa katika "Mainstream Media"?
Sorry kwa hili,, wewe si miongoni mwao.Mimi nilimtesa nani mkuu?...
It's okay bro. One Love.Sorry kwa hili,, wewe si miongoni mwao.
Nisamehe[emoji120]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Soja yupo sahihi kabisa. Linalomuhusu mkuu wa nchi sio "personal issue" unakumbuka issue ya Ze Utamu enzi za utawala wa mzee Kikwete?Nadhani tunatakiwa kujifunza kwa wenzetu walioendelea, huku kukamiana kwasababu ya mambo yasiyo ya msingi kunachangia kuturudisha nyuma badala ya kusonga mbele.
Hebu fikiria huu uzi mpaka sasa tunadiscuss issue personal.
Mkuu, samahani kidogo ninaomba kukuuliza swali moja tu. Kwani TCRA hawawezi kuifungia website hii ili isionekane/isipatikane huku Tanzania?serikali ya kenya sana sana itamsikiliza balozi na kumuelekeza cha kufanya kuendana na sheria zao.
Aliyekuwa mkuu wa nchi- ,,rekebisha hapo. Hayo ni mambo yanaihusu familia yake. Mbona familia ipo kimya? Utapiga kelele hapa kumbe wenyewe wanayamaliza kiutu uzima kimyakimya.Soja yupo sahihi kabisa. Linalomuhusu mkuu wa nchi sio "personal issue" unakumbuka issue ya Ze Utamu enzi za utawala wa mzee Kikwete?
Wanaweza. Ila ukizuia ndio unazidi kuipa promotion hiyo website..watu wataingia VPN ili kuitazama. Ni kama BASATA wakizuia wimbo..watu ndio wanapata hamasa ya kuusikiliza na wanaupata youtube kirahisi.Mkuu, samahani kidogo ninaomba kukuuliza swali moja tu. Kwani TCRA hawawezi kuifungia website hii ili isionekane/isipatikane huku Tanzania?
Wakenya ni wap.u.m.b.avu sanaGazeti bila shaka linayo bifu na wakikuyu - why kikuyu lady na siyo kenyan lady?
Mwaka 2007 waliuana kama kuku kisa Kibaki na OdingaWakenya ni wap.u.m.b.avu sana
Odinga akapata uwaziri mkuu anatunzwa mpaka kufa ila ndugu wa marehemu wanaishi kwa taabu na dhiki kuuMwaka 2007 waliuana kama kuku kisa Kibaki na Odinga
Kwanini mkuu?Wakenya ni wap.u.m.b.avu sana