Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Ubalozi wa Tanzania nchini Kenya usifumbie macho udhalilishaji huu dhidi ya viongozi waandamizi wa nchi yetu.

Kwa hiyo akina Hitler, Mussolini, Idd Amin pamoja na wakoloni waliotawala Afrika na kuchukua rasilimali zetu, walipingwa kwa sababu walikuwa ni mti wenye matunda?
Hii yako wewe mkuu. Ni wape wakoloni pamoja na hao dictators wametajwa katika uzi huu?
 
Huyo aliyechapisha ni mpuz ametaka kumchafua tu..
Kwani aliyechapisha yeye ana usafi gani

Ova
Ndio hapo sasa mkuu. Kenya inasikitisha sana kama wanaweza kuwa na mitandao ya udaku itakayoweza kutumika kufanyia uzandiki pasipo kudhibitiwa.
 
Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Mwinyi Mzee ruksa alisemekana kuruhusu kila kitu wanadai aliuza mpaka mbuga za wanyama, Mzee Mkapa wanadai alibinafsisha migodi yote nchini, Mzee Kikwete nae anazo kashfa za kuendelea ubinafsishaji baadhi ya migodi
 
Daaah, Afrika yetu hii ni shiiida. Sasa twende na Mama Samia Rais wetu kipenzi.
 
Kwanini udaku unaadikwa katika "Mainstream Media"?
Nadhani tunatakiwa kujifunza kwa wenzetu walioendelea, huku kukamiana kwasababu ya mambo yasiyo ya msingi kunachangia kuturudisha nyuma badala ya kusonga mbele.
Hebu fikiria huu uzi mpaka sasa tunadiscuss issue personal.
Tungetumia muda huu kuchambua mambo yenye tija kwa taifa naamini tungekuwa tumetoa mchango fulani +ve.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Nadhani tunatakiwa kujifunza kwa wenzetu walioendelea, huku kukamiana kwasababu ya mambo yasiyo ya msingi kunachangia kuturudisha nyuma badala ya kusonga mbele.
Hebu fikiria huu uzi mpaka sasa tunadiscuss issue personal.
Soja yupo sahihi kabisa. Linalomuhusu mkuu wa nchi sio "personal issue" unakumbuka issue ya Ze Utamu enzi za utawala wa mzee Kikwete?
 
serikali ya kenya sana sana itamsikiliza balozi na kumuelekeza cha kufanya kuendana na sheria zao.
Mkuu, samahani kidogo ninaomba kukuuliza swali moja tu. Kwani TCRA hawawezi kuifungia website hii ili isionekane/isipatikane huku Tanzania?
 
Soja yupo sahihi kabisa. Linalomuhusu mkuu wa nchi sio "personal issue" unakumbuka issue ya Ze Utamu enzi za utawala wa mzee Kikwete?
Aliyekuwa mkuu wa nchi- ,,rekebisha hapo. Hayo ni mambo yanaihusu familia yake. Mbona familia ipo kimya? Utapiga kelele hapa kumbe wenyewe wanayamaliza kiutu uzima kimyakimya.
Badala yake wewe ndo unageuka unaidhalilisha familia.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, samahani kidogo ninaomba kukuuliza swali moja tu. Kwani TCRA hawawezi kuifungia website hii ili isionekane/isipatikane huku Tanzania?
Wanaweza. Ila ukizuia ndio unazidi kuipa promotion hiyo website..watu wataingia VPN ili kuitazama. Ni kama BASATA wakizuia wimbo..watu ndio wanapata hamasa ya kuusikiliza na wanaupata youtube kirahisi.
 
Back
Top Bottom