Cley madekaz
Member
- Mar 20, 2021
- 38
- 47
Wewe ndo umeieneza tulikua hatujui iyo lakini kwa mwanaume ni kitu ya kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, kuficha ujinga ni hekima!Kama mwenyewe hajulikani, who collects those revenues? Ni nani anaidhinisha hayo matangazo?
Kama Kenya inaweza kuwa na website ambayo mtu anaweza kuitumia katika kufanya uchochezi bila kujulikana basi Kenya sio nchi salama.
Mbona Nyerere, Mwinyi, Kikwete na Mkapa hawajawahi kusingiziwa; why Magufuli?
Uzalendo wa kujipakaza usoni huku akilini kukiwa hakuna kitu ni hadaa ya kipuuzi!USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sawa ndugu yangu, basi na mimi ninaomba kukukumbusha kwamba "kuficha ujinga wako pia ni hekima!"Ndugu yangu, kuficha ujinga ni hekima!
DuuuhUzalendo wa kujipakaza usoni huku akilini kukiwa hakuna kitu ni hadaa ya kipuuzi!
Habari yako yote uliyoweka hapo haikufanyi uwe mzalendo na kujitangaza hivyo!
Sasa hapa kwa mada hiyo uliyoileta hapa sijui unataka watu wachangie kitu gani, wakubaliane na wewe ndipo waonekane ni wazalendo kwenye jambo la kipuuzi kama hili?
Ingekuwa inamdhalilisha Rais Uhuru Kenyatta, would you dare say such a thing kwamba "serikali ya Kenya haiwezi kufungia website outside their jurisdiction"?Serikali ya Kenya haiwezi kufunga websites outside their jurisdiction.
JPM alikuwa ni chuma kama Mama SamiaKwasababu hao Wakenya kimoyo moyo wanamkubali sana Hayati kiasi kwamba wanatamani hata angewaachia 'copy' yake tu!!!
Bwana Infatry Soldier nadhani una tatizo la proper thinking...
Tanzania haiwezi ipangia Kenya on how its citizens are talking about
Tanzania ina uwezo wa kusimamia wananchi wake ndani ya Tanzania na sio watu wa taifa jingine
Hapa unatakiwa kujiuliza why people are talking bad about Magufuli?
It has to do with Magufuli himself zaidi ya wanadamu wengine,wanadamu wana refletct what this dead nigga was all about.
Nyerere au Kikwete mbona wanazungumziwa vizuri sana,why this?
Hahahahaaa acha ku-panic basiWewe una uhakika wanazungumziwa vibaya?
Au na wewe ni hisia zako tu?
Usijipe utakatifu wa kuuliza maswali sisi tukujibu,hata sisi tunajua kuuliza maswali...get the fvck outta here!
Jiwe ndio nani mkuu?...Bwana mdogo hii ni awamu nyingine...
Jiwe aliwaamrisha Citizen TV kuandaaa apology kwa kusema "Ukaidi wa Magufuli" katika kupambana na Janga la UVIKO..
Sasa leo unataka jiwe atoe amri na amekwishakufa?
Mkuu, masuala ya sheria za Kenya na udhalilishaji wa viongozi wetu hauna uhusiano kabisa. Ni lazima tuwe wakali linapokuwa suala zima la kulinda heshima yetu kama taifa. This is nonsense.
Kwanini unaongelea uwezekano? Ina maana hauna uhakika? Kuna proof gani kama ubalozi umeganya hivyo? This is against our common EAC values. Rais sio msanii wa bongo movie wa kufanyiwa dhihaka.
Tunachotaka sisi ni kuwa wajue tuna msimamo mkali linapokuja suala la kulinda taswira njema ya taifa pamoja na viongozi wetu waandamizi.
Mkuu, Rais kuchepuka sio jambo la kawaida, tena likichapishwa kwenye media pasipo kuwa na usahihi wa taarifa. Huu ni udhalilishaji mkuu.
Hii site humdhalilisha yeye na family ya Kenyatta mara nyingi. Hana la kufanya.Ingekuwa inamdhalilisha Rais Uhuru Kenyatta, would you dare say such a thing kwamba "serikali ya Kenya haiwezi kufungia website outside their jurisdiction"?
Basi kama ni hivi hakutakuja kuwa na EAC imara ni kudanganyana tu kwa maana sheria zao na zetu ni tofauti kabisa.