Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂
Na lazima u maintain convos muda wote.
20260402_074957.jpg
 
Umenikumbusha nilikuwa nafanya kazi kampuni flani, kuna sister mmoja huwa tunaheshimiana tu hatunaga story zaidi ya salamu.

Siku moja natoka kazini naona na yeye yupo nyuma yangu, akiniambia twende nikupe lift nikusogeze.

Nikaona sio kesi, hao mdogo mdogo kufika mbele kidogo tukakutana na foleni ndefu sana, shughuli ikaanzia hapo

Asee nikasema siwezi kukaa kifala hivi, acha nianze kupiga story za uongo na ukweli, yaani nilkuwa nakoroga mafaili kama nimewehuka hivi, ikabidi aniulize kumbe unaongeaga hivi hahahaha
 
Ukipewa lift bana, utaanza hata kuwalaumu Traffick unaowaona hawana kazi zaidi kuzidisha foleni.

Setting za Ac huwezi gusa hata iweje unavumilia iendelee kupiga away from you 🤣

Mara ujifanye wewe ndo unaona mashimo sana hayarekebishwi 😄
 
Halafu uwe mvumilivu, mwenye usafiri anaweza tembea mwendo usiopendelea au akasimama mahali kuongea na mtu bila kujali unakoenda. Cha bure hakifai.
Hii ilinikuta siku moja,jamaa kila sehemu anasalimia na kuna sehemu anashuka kabisa akipiga stori.yaani tumetoka morogoro saa nne tumefika mjini saa 11.nikajiuliza si ningepanda Abood ningekuwa nishafika😂😂

Lakini nikaona gari ndogo ni kunusa tu
 
Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂
Na lazima u maintain convos muda wote.
View attachment 3566037
Na yeye akiwa shabiki wa Israel wewe hutakiwi kuwa shabiki wa Iran maana atakushusha.

Binafsi nikikupa liftti halafu ukawa unaidisi nyeto nakushusha maramoja utange na njia.
 
Hii ilinikuta siku moja,jamaa kila sehemu anasalimia na kuna sehemu anashuka kabisa akipiga stori.yaani tumetoka morogoro saa nne tumefika mjini saa 11.nikajiuliza si ningepanda Abood ningekuwa nishafika😂😂

Lakini nikaona gari ndogo ni kunusa tu
Ni kukosa ustaarabu tu mkuu,hata kama gari ni lako ila ni lazima iwepo heshima ya kibinadamu,kumuheshimu uliyempa lift,

Hata unaposimama njiani ili uongee na mtu,inabidi umwambie uliyempa lift, "Samahani ndugu nitasimama kidogo,kuna mtu nataka kuongea nae"
 
Back
Top Bottom