Umenikumbusha nilikuwa nafanya kazi kampuni flani, kuna sister mmoja huwa tunaheshimiana tu hatunaga story zaidi ya salamu.
Siku moja natoka kazini naona na yeye yupo nyuma yangu, akiniambia twende nikupe lift nikusogeze.
Nikaona sio kesi, hao mdogo mdogo kufika mbele kidogo tukakutana na foleni ndefu sana, shughuli ikaanzia hapo
Asee nikasema siwezi kukaa kifala hivi, acha nianze kupiga story za uongo na ukweli, yaani nilkuwa nakoroga mafaili kama nimewehuka hivi, ikabidi aniulize kumbe unaongeaga hivi hahahaha