AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Pole sana ulikua sio wewe ila ile foleni, mimi nakumbuka niliwahi kupewa lift na MPOKI huyu huyu mchekeshaji kipindi hicho alikua na gari fulani hivi ndogo, basi jamaa yeye ndio alikua anatupigisha story mwanzo wa safari mpaka mwisho wa safari sisi kazi yetu ilikua ni kucheka tu mpaka kwenye foleni. Umenipata.nianze kupiga story za uongo na ukweli, yaani nilkuwa nakoroga mafaili kama nimewehuka hivi, ikabidi aniulize kumbe unaongeaga hivi hahahaha
Oya sio kweli madereva wengine wanapigisha watu story ila sio wao wapende kupigishwa story, nakumbuka nilipataga lift MOMBO kuna dereva alikua anapata menu na mimi mbuzi mbuzi story story akauliza unaelekea wapi nikamwambia Dar akasema sasa sikia mimi nitakuacha Chalinze twenzetu tukakwea ndinga usichoamini ni kwamba yeye ndio alikua anapiga story tu mimi kazi yangu ilikua ni kuitikia tu hio kweli hio hapana ndio ndio hapo kweli yaan ni hivyo tukisimamishwa na traffic akienda kuwatoa akirudi safari inaendelea story inahamia kwa traffic anaelezea matraffic wote anaokutana nao na tabia zao mimi ni kuitikia tu hata kwa kutikisa kichwa yeye ni story tunikitoka zangu mbeya nikifika iringa lazima niulizie mtu wakwenda dar asichangie nauli
mana nahitaji sana mtu wakunipigisha stories kuanzia kitonga hadi tunatoboa
South afrika wanasheria kabisa mtu asiyemwongea asikae mbele na dereva
Kumbe unaongeaga hivi....π€£π€£π Ukisikia tumeambiwa hivyo ujue Kuna faili umechanganya mahali yaaniππimetukuta wengi hiiUmenikumbusha nilikuwa nafanya kazi kampuni flani, kuna sister mmoja huwa tunaheshimiana tu hatunaga story zaidi ya salamu.
Siku moja natoka kazini naona na yeye yupo nyuma yangu, akiniambia twende nikupe lift nikusogeze.
Nikaona sio kesi, hao mdogo mdogo kufika mbele kidogo tukakutana na foleni ndefu sana, shughuli ikaanzia hapo
Asee nikasema siwezi kukaa kifala hivi, acha nianze kupiga story za uongo na ukweli, yaani nilkuwa nakoroga mafaili kama nimewehuka hivi, ikabidi aniulize kumbe unaongeaga hivi hahahaha
Kabisaa afu ukute anapigiwa simu ambazo wewe hukupaswa kusikiliza Convo hizo... Ni Changamoto Sana..Halafu uwe mvumilivu, mwenye usafiri anaweza tembea mwendo usiopendelea au akasimama mahali kuongea na mtu bila kujali unakoenda. Cha bure hakifai.
Lift huombi lift unapewa na sio kila mtu anafaa kupewa lift. Ukiona kwamba ulikua [huombwi] kupewa lift unaambiwa naomba nikupe lift au twende nikupe lift au panda nikusogeze unaelekea wapi? basi wewe hufai kupewa lift.Kipindi Sina usafiri nilikuwa siombi lifti, na kulikuwa na majirani kibao wananipita barabarani natembea lifti nilikuwa siombi,nakausha kimya nikanunua gari yangu ya kwanza Nissan FUGA kipindi hicho hicho gari ya jirani yangu ikaharibika ( ilikuwa garage) akaanza kuwa akinikuta njiani anaomba lifti nilimpa mara 1 tu nikawa namnyima.
Hii ni bahati ulipata aseeOya sio kweli madereva wengine wanapigisha watu story ila sio wao wapende kupigishwa story, nakumbuka nilipataga lift MOMBO kuna dereva alikua anapata menu na mimi mbuzi mbuzi story story akauliza unaelekea wapi nikamwambia Dar akasema sasa sikia mimi nitakuacha Chalinze twenzetu tukakwea ndinga usichoamini ni kwamba yeye ndio alikua anapiga story tu mimi kazi yangu ilikua ni kuitikia tu hio kweli hio hapana ndio ndio hapo kweli yaan ni hivyo tukisimamishwa na traffic akienda kuwatoa akirudi safari inaendelea story inahamia kwa traffic anaelezea matraffic wote anaokutana nao na tabia zao mimi ni kuitikia tu hata kwa kutikisa kichwa yeye ni story tu
πππ saa ingine ni safari ya kulipa buku tu mtu anaomba lifti.ππππππ daaah kumbe watu mnadhalilikaga ivi
Kujiendekeza ivi watu hawanaga aibu ππππππ saa ingine ni safari ya kulipa buku tu mtu anaomba lifti.
My dear kuna watu hawanaga aibu eti japo nawaza bajaj zilizojaa kila kona unaanzaje kupata shida ya kujichekesha chekesha kwenye gari ya mtu.Kujiendekeza ivi watu hawanaga aibu πππ