Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

My dear kuna watu hawanaga aibu eti japo nawaza bajaj zilizojaa kila kona unaanzaje kupata shida ya kujichekesha chekesha kwenye gari ya mtu.

Ugumu tu. πŸ˜”
Siwez na sitokua na amani labda uwe mtu nimezoeana naye sana Ile kushibana iviivi nakodi bajaji nipulizwe upepo mwenyewe πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…