Ubelgiji, Ujerumani, EU na USA hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi mkuu. Kwanini sisi?


Kwa nyongeza nchi za kidemokrasia za kaskazini serikali ni wananchi (watu) na siyo mtu . Hivyo nchi inaweza kuendelea bila serikali kuwa na rais au waziri mkuu kwa miaka hata miwili huku vyama vya siasa vikiendelea na shughuli zao za,kisiasa kutafuta rais au waziri mkuu

Sababu kuu wenzetu nchi za kaskazini mifumo na taasisi zao imara zinafanya kazi vizuri bila kutegemea uwepo rais au waziri mkuu
10.
3 August 2020
BELGIUM SIKU 592 BILA KUWA NA WAZIRI MKUU


Nchi ya Belgium imevuja rekodi, kwa kutokuwa na kiongozi wa serikali kwa siku 592.

Pia imewahi kutokea huko nyuma nchi hii ya Belgium kuendelea bila kutetereka kwa siku 541 bila kuwa na kiongozi mkuu wa serikali yaani waziri mkuu

Kuwepo kwa taasisi imara zinazoongozwa na makatibu wakuu wa mawizara na zile taasisi za serikali za Mitaa kumewezesha nchi kazi iendelee bila ya kuwepo waziri mkuu ...

The Brussels Times
https://www.brusselstimes.com β€Ί bel...
Belgium breaks own record for longest period without government

3 Aug 2020 β€” It has been 592 days since the previous government, led by former Prime Minister Charles Michel, collapsed over inter........
Strained negotiations after last year's elections in May have routinely collapsed as party leaders and several top government officials resign from their mission to steer the coalition negotiations.

The previous record for Belgium's longest post-election period without a government stands at 541 days and ended with the swearing-in of Former Prime Minister Elio Di Rupo after a similarly convoluted negotiation period followed the June 2010 elections Source : Belgium breaks own record for longest period without government
 
Acha bangi, Trump kashaanza kampeni za urais 2024 na mikutano anafanya. Unapata wapi taarifa zako, TBC?
Trump ana fanya kampeni za ndani ya chama ili kuomba lidhaa ya kuteuliwa na chama chake kuwa mgombea wa urais...

Pia ameanza mapema ili aweze kupiga chenga kesi zinazo mkabili pamoja na uchunguzi usitishwe kwa kipindi chote cha kampeni kama sheria zinavyo taka

Kwa marekani ukiwa na kesi na ukagombea kiti cha urais basi kesi itasimama kwanza

Kwa nujibu wa TBC...
 
Una bidi uelewe kampeni anayoifanya kwanza...
 
Unaumwa kweli wewe
 
Trump Kila Mara tunaona anafanya mikutano danganya hoa unaowadanganya
 
Novara Media
novaramedia.com
After 600 Days of Political Deadlock, Why Isn’t Belgium Facing Civil ...

25 Aug 2020 β€” In December 2018, the country's federal government collapsed when the right-wing Flemish nationalists, the New Flemish Alliance (N-VA), left ...

What’s more, Belgian democracy exemplifies what’s referred to as β€˜consociationalism’ – a form of power-sharing found in societies that are divided or segmented, either socially or ethnically.

Because political stakes are higher in divided societies, as there is greater potential for a breakdown, representatives must work together to achieve political stability. Instead of as a zero-sum game, common ground must be found.

One example of this in Belgium has been the cordon sanitaire – an agreement whereby since the 1990s parties have excluded Vlaams Belang from any coalitions in order to protect democratic values. ...

READ MORE : After 600 Days of Political Deadlock, Why Isn’t Belgium Facing Civil Unrest? | Novara Media
 
Nani kakudanganya hakuna udukuzi?
 
Kwa mujibu wa katiba yetu kuzuia maandamano na mikutano ya hadhara ni kukiuka katiba, afanyaye hivyo anatakiwa kuwajibishwa.
Hivi ndivyo vipengele vinavyotakiwa kufutwa mara moja kwenye katiba yetu. Hata majirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi, uchaguzi ukimalizika huwezi ukaona fyoko fyoko za mikutano ya hadhara na maandamano ya vyama vya siasa pinzani isiyokuwa na kikomo!
 
Hata majirani zetu Kenya

Kenya siasa hazikomi mara baada ya uchaguzi mkuu. Tayari vyama, na miungano ya vyama / coalition wameaza siasa za ushawishi kuelekea 2027 ..



  • byT L
  • November 30th, 2022

Maandamano: Raila Akunja Mkia

CHARLES WASONGA Na MARY WANGARI KIONGOZI wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga amefutilia mbali mkutano aliopanga kuuongoza leo...

  • byT L
  • November 28th, 2022

Ruto Afuata Nyayo Za Moi Katika Kutawala

NA BENSON MATHEKA RAIS William Ruto amejitokeza kuwa mwanafunzi stadi wa mlezi wake wa kisiasa, Daniel Moi kwa kuiga mbinu alizotumia...

  • byT L
  • November 28th, 2022

Kalonzo Tayari β€˜Kurithi’ Raila Kura Za 2027

NA PIUS MAUNDU KINARA wa Wiper Kalonzo Musyoka ametangaza kuwa atawania urais 2027 huku akisema kuwa tayari anaungwa mkono na ngome ya...

  • byT L
  • November 27th, 2022

Mgawanyiko Azimio Ikikaribia Kuvunjika

NA BENSON MATHEKA HUKU kiongozi wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga akisisitiza kwamba,upinzani hautalegeza kamba katika kukosoa...

  • byT L
  • November 26th, 2022

Gachagua, Mudavadi Wajipanga Kwa 2027

NA BENSON MATHEKA NAIBU Rais Rigathi Gachagua na Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi wanaonekana kushindana vikali kila mmoja akiimarisha...

  • byT L
  • November 26th, 2022

Vinara Wakuu Azimio Washutumu Kenya Kwanza Kwa Kulipiza Kisasi

NA MACHARIA MWANGI VIONGOZI wa Muungano wa Azimio One Kenya wamelaumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kuendeleza kisasi dhidi ya viongozi na...

  • byT L
  • November 24th, 2022

Raila Ahudhuria Kikao Cha Kukaanga Cherera Na Wenzake Kisha Alaani Pendekezo La Kuwatimua

NA CHARLES WASONGA VIONGOZI wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Martha Karua ni miongoni mwa

Source : Siasa – Taifa Leo
 
Sijui mwenzetu uko dunia gani?

Unategemea waorganise mikutano yao same way tunavyofanya Bongo ama!!?

Anyway, mfano unajua Trump kafanya mikutano mingapi toka atoke Madarakani? Yaani mpaka katangaza kugombea already two years before which is unusual.
 
Acha uchawa wa kijinga Trump kila siku anafanya mikutano, uongo unakusaidia nini!

Kama unataka uteuzi nenda kwa Shaka akupigie debe!
 


Sio kweli sisi tupo hapa US zaidi ya miaka 20 hakuna sheria ya hivyo hapa US. Huu ni uongo au kutokujua.
Mtu yeyote ana haki ya kuandamana na kufanya mikutano bila matatizo yoyote wakati wowote.

Pili mikutano kwa upande wa Tanzania nayo ni ruksa kwa muda wowote kabla na baada ya chaguzi. Tofauti ya Tanzania ni kuona kibali Polisi kwa usalama wa raia. Hii ndiyo sababu Polisi wana husika na hili.
Hivyo inashangaza mtu na akili zake mnaweka kampeni kama hizi za kijinga kuzuia watu haki zao za kuandamana au wana siasa kuongea na wananchi kwa faida ya nani hasa!. Yaani imefikia muda kila mtu hata kwenye mitandao mnafikia matumbo tu! tafuteni kazi ndugu zangu
 
Ukiiringanisha Tanzania na Nchi ulizozitaja, usiishie hapo, Uzungumzie pia Tume huru ya Uchaguzi kwa hizo nchi, then urudi kuzungumzia Tanzania, Uzungumzie pia namna Uchaguzi unavyokua huru huko pia linganisha na Tanzania, usichague!
 
Katiba yetu na sheria ya vyma vya siasa vinaruhusu
 
16 November 2022
Rais mstaafu Donald Trump atangaza kuingia ktk mbio za kuusaka urais wa Marekani 2024 akiwa Mar-A-Lago in Florida. Donald Trump awashukuru raia wote waliojitokeza kumsikiliza na kuunga mkono arudi tena ofisini kulitumikia taifa lake. Katika hotuba yake ameshutumu utawala uliopo madarakani kwa uongozi mbaya. Donald Trump ameshukuru kwa kuona upendo wa wazi waliouonyesha umati huo kwake yeye na kubwa zaidi kwa upendo wao kwa nchi yao the United States of America.

16 November 2022
Former President Donald Trump announces he's entering the 2024 presidential race from Mar-A-Lago in Florida.

Source : CNBC Television
 
So uko radhi sasa tuige kila kitu kutoka kwa Hao watu, uko tayari sasa kuishi kutokana na mtindo wao sio?
 
Huu udokta wako ni kama aliotoa Kikwete juzi? Unawaona wenzio mapoyoyo eti?
 
Huku HAPAKUWA na UCHAGUZI,

Hivyo Mikutano, maandamano lazima vifanyike Ili angalau SANDUKU la Kura lililoibwa na CCM lirudishwe.

Pia mikutano na maandamano ni HAKI ya KIKATIBA.

Naona ziara ya viongozi CDM ngambo imeanza kujibu.πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sasa unalinganisha ulaya,UK na uchafu wa bongo?!akili hauna,kule hata wapinzani wasipofsnya kampeni,taasisi zipo macho kuhakikisha serikali iliyopo Madarakani haivunji sheria,Trump alishitakiwa akiwa Madarakani!!
Huku kwetu,Kuna vituko,polisi waliwahi iba mishahara yao,kituo Cha msimbazi!leo silaha imeibiwa ofisi ya takukuru,kipindi Cha shetani Jiwe,laptop ya ofisi ya mwanasheria mkuu,ilipotelea kusikojulikana!!
Huku kwetu polisi ndio jambazi,polisi ni jambazi aliyepewa leseni!
Raisi mwizi,PM mwizi,waziri mwizi,Rac,DC wezi!!hapo lazima wapinzani waendelee kupiga kelele.
Sasa fikiria kenge,Jiwe alichowafanya watu,na wafanyabiashara!!
 

Attachments

  • Screenshot_20221201-145610_1.jpg
    47.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…