Sababu:
1. Wana katiba zinazisimamia demokrasia
2. Wana uhuru wa kujieleza na kutoa maoni unaotokana na katiba bora. Hivyo hawana haja ya kuandamana ili wasikilizaji
3. Maandamano hufanyika pale tu katiba inapokiukwa, mfano Black Lives Matter. Kwa hiyo maandamano yao ni kwa kulinda katiba
4. Katiba huwalazimisha viongozi waliicgaguliwa kuwajibika kwa wananchi kwa kuzingatia ilani zao.
5. Mahitaji ya msingi ya binadamu mf maji safi, elimu, afya, uhuru wa kuongea yametekelezwa tangu kupata uhuru
7. Hakuna ubaguzi wa shughuli za maendeleo kwa misingi ya upinzani na chama tawala
8. Hawadeki barabara kwa ajili ya watawala kupita
9.
Kwa nyongeza nchi za kidemokrasia za kaskazini serikali ni wananchi (watu) na siyo mtu . Hivyo nchi inaweza kuendelea bila serikali kuwa na rais au waziri mkuu kwa miaka hata miwili huku vyama vya siasa vikiendelea na shughuli zao za,kisiasa kutafuta rais au waziri mkuu
Sababu kuu wenzetu nchi za kaskazini mifumo na taasisi zao imara zinafanya kazi vizuri bila kutegemea uwepo rais au waziri mkuu
10.
3 August 2020
BELGIUM SIKU 592 BILA KUWA NA WAZIRI MKUU
Nchi ya Belgium imevuja rekodi, kwa kutokuwa na kiongozi wa serikali kwa siku 592.
Pia imewahi kutokea huko nyuma nchi hii ya Belgium kuendelea bila kutetereka kwa siku 541 bila kuwa na kiongozi mkuu wa serikali yaani waziri mkuu
Kuwepo kwa taasisi imara zinazoongozwa na makatibu wakuu wa mawizara na zile taasisi za serikali za Mitaa kumewezesha nchi kazi iendelee bila ya kuwepo waziri mkuu ...
The Brussels Times
https://www.brusselstimes.com › bel...
Belgium breaks own record for longest period without government
3 Aug 2020 — It has been 592 days since the previous government, led by former Prime Minister Charles Michel, collapsed over inter........
Strained negotiations after last year's elections in May have routinely collapsed as party leaders and several top government officials resign from their mission to steer the coalition negotiations.
The previous record for Belgium's longest post-election period without a government stands at 541 days and ended with the swearing-in of Former Prime Minister Elio Di Rupo after a similarly convoluted negotiation period followed the June 2010 elections Source : Belgium breaks own record for longest period without government





