Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

Gari vikwazo vingi. Bodaboda hasimamishwi na askari,hana 50kph zone matuta anapita na mwendo anaotaka. Ni rahiai kwake kupata average speed ya juu ingawa maximum speed yake hataifikia gari on some spots.

Yes hana vikwazo kama hivyo vya askari na speed limit but security wise gari imeundwa kukabiliana na vikwazo vya kifizikia na aerodynamics zaidi
 
Ukiwa na vifaa vyote na ukanipa baja xl tu mbeya mpaka dar km 900 natumia masaa 6 au 7 tu
bila kuvuta ganja
nikivuta ni masaa 5 tu Kwa usiku!
iLa kuna watu wanaendesha hz pikpik sio poa

Kuna wehu wanaendesha pikpik kutoka mwanza kayenze wakiwa na mzigo wa ndoo kubwa 15+ za dagaa mbichi kufikia saa 3 asubuh wanakuwa wapo katoro,mwanza kayenze wanatoka saa 12 asubuh
 
Chuma ikiwa na mzigo inatembea balaa!
 
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye ubishani wa kawaida na kuhitimishwa kwa ushindi wa kihistoria.

Ubishani huo ulianza tarehe 14 Januari 2026 kati ya Brown Anthony na bodaboda mwenzake Alex Ndile, ambapo walitofautiana kuhusu uwezekano wa kufika Dar es Salaam kwa pikipiki ndani ya muda wa masaa 13. Baada ya majadiliano makali, walikubaliana kuyaweka madai yao katika makubaliano rasmi ya kisheria.

Makubaliano hayo yaliwekwa mbele ya mwanasheria Ambakisye Kibona, ambapo kila mmoja alikuwa na pikipiki yake binafsi, na pande zote zilikubaliana kuwa atakayeshindwa atalazimika kumpa mshindi pikipiki yake kama dau la makubaliano hayo.

Baada ya makubaliano kukamilika, Brown Anthony alianza safari yake rasmi tarehe 15 Januari saa 11:00 asubuhi, akitokea Mbalizi jijini Mbeya, akitumia pikipiki yake kama ilivyokubaliwa katika makubaliano hayo ya kisheria.

Katika safari hiyo ndefu na yenye changamoto, Brown Anthony alifanya mapumziko mara tatu kwa ajili ya ukaguzi na matengenezo madogo ya pikipiki, hatua iliyomwezesha kuendelea na safari bila matatizo ya kiufundi.

Hatimaye, alifanikiwa kuwasili jijini Dar es Salaam saa 9:35 alasiri siku hiyo hiyo, akitumia muda uliokuwa chini ya masharti ya makubaliano, na hivyo kuthibitisha ushindi wake dhidi ya mpinzani wake Alex Ndile.

Baada ya kukamilisha safari hiyo, Brown Anthony alianza safari ya kurejea Mbeya alfajiri ya saa 11 kutoka Dar es Salaam, na kufanikiwa kuingia Mbalizi jijini Mbeya jioni ya Ijumaa, Januari 16, 2026, ambapo alipokelewa kwa shangwe. Kufuatia ushindi huo, alikabidhiwa pikipiki ya ushindi, iliyokuwa mali ya Alex Ndile yenye namba ya usajili MC 695 EFE.

atharia kwa afya yake itajidhihirisha baadae maishani :BillyApprove:
 
iLa kuna watu wanaendesha hz pikpik sio poa

Kuna wehu wanaendesha pikpik kutoka mwanza kayenze wakiwa na mzigo wa ndoo kubwa 15+ za dagaa mbichi kufikia saa 3 asubuh wanakuwa wapo katoro,mwanza kayenze wanatoka saa 12 asubuh
Chuma ikiwa na mzigo inatembea balaa!
 
Pikipiki ni rahisi kutoboa sababu hakuna torch, Hakuna askari wa kukusimamisha
 
Sifa za kijinga tu. Baada ya muda fulani, atashangaa mapafu yake yamejaa maji na hivyo kumsababishia mauti.
 
Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye ubishani wa kawaida na kuhitimishwa kwa ushindi wa kihistoria.

Ubishani huo ulianza tarehe 14 Januari 2026 kati ya Brown Anthony na bodaboda mwenzake Alex Ndile, ambapo walitofautiana kuhusu uwezekano wa kufika Dar es Salaam kwa pikipiki ndani ya muda wa masaa 13. Baada ya majadiliano makali, walikubaliana kuyaweka madai yao katika makubaliano rasmi ya kisheria.

Makubaliano hayo yaliwekwa mbele ya mwanasheria Ambakisye Kibona, ambapo kila mmoja alikuwa na pikipiki yake binafsi, na pande zote zilikubaliana kuwa atakayeshindwa atalazimika kumpa mshindi pikipiki yake kama dau la makubaliano hayo.

Baada ya makubaliano kukamilika, Brown Anthony alianza safari yake rasmi tarehe 15 Januari saa 11:00 asubuhi, akitokea Mbalizi jijini Mbeya, akitumia pikipiki yake kama ilivyokubaliwa katika makubaliano hayo ya kisheria.

Katika safari hiyo ndefu na yenye changamoto, Brown Anthony alifanya mapumziko mara tatu kwa ajili ya ukaguzi na matengenezo madogo ya pikipiki, hatua iliyomwezesha kuendelea na safari bila matatizo ya kiufundi.

Hatimaye, alifanikiwa kuwasili jijini Dar es Salaam saa 9:35 alasiri siku hiyo hiyo, akitumia muda uliokuwa chini ya masharti ya makubaliano, na hivyo kuthibitisha ushindi wake dhidi ya mpinzani wake Alex Ndile.

Baada ya kukamilisha safari hiyo, Brown Anthony alianza safari ya kurejea Mbeya alfajiri ya saa 11 kutoka Dar es Salaam, na kufanikiwa kuingia Mbalizi jijini Mbeya jioni ya Ijumaa, Januari 16, 2026, ambapo alipokelewa kwa shangwe. Kufuatia ushindi huo, alikabidhiwa pikipiki ya ushindi, iliyokuwa mali ya Alex Ndile yenye namba ya usajili MC 695 EFE.

Usishangae Wapumbavu wakamtia MBARONI.
 
#Nini maoni Yako juu ya KIJANA huyu
 
Wewe ushaona boda boda hata kwenye mataa wakisimama.?
nakumbuka baada ya chenge AG mstaafu kuua watu kwenye bajaji pamoja na mwanae ,akashinda kesi eti kwakua bajaji hazikuwa kwenye usajili kisheria

Ndo mwanzo wa serikali sasa kukumbuka hilo ,hivyo hataboda siku zipitie katikati msafara wa samuya ndipo serikali itashituka kukumbuka
 
iLa kuna watu wanaendesha hz pikpik sio poa

Kuna wehu wanaendesha pikpik kutoka mwanza kayenze wakiwa na mzigo wa ndoo kubwa 15+ za dagaa mbichi kufikia saa 3 asubuh wanakuwa wapo katoro,mwanza kayenze wanatoka saa 12 asubuh
Hata mbeya kyela wapo hawa,,wanapakia samaki kutoka ziwani kupeleka mbeya mjini, samaki anatakiwa anafike kabla hajaharibika, wanapakia ndoo nyingi za samaki, jamaa wanatembea wale kama gari za magazeti,,ndio maana wakipata ajari mnaenda kuzoa damu tu.
 
Back
Top Bottom