Watakosa ushahidi wa picha ya kuwa alizidi speedUsishangae Wapumbavu wakamtia MBARONI.
Hii kamba auFu*k NO
Hiii hata Juzi tunaenda Moshi nilinoti jamaa wapo na bike mpk wanafika maskani,Kuna siku December fulani nilikuwa naenda Moshi. Kufika Maeneo ya Bagamoyo nikaipita pikipiki fulani imechoka. Nikaenda nikasimama Msata. Baadae natoka Msata ile pikipiki nikaikuta Wami nikaipita nikae da kufika Mkata tena tuasimama, kutoka hapo ile ile pikipiki nikaipita mbele ya Mkata nikawaambia jamaa huyu mtu anaenda Moshi. Mwenso wake nikimwangalia wa kawaida tu. Tukaenda tukasi.mama Korogwe hapa huwa tunakaa kama 1hr. Kutoka hapo ile pikipiki nikaipita maeneo ya Lembeni hapo tukajihakikishia mwamba anaenda kula Xmas na chonbo yake. Na anaendesha pembeni kabisaya barabara
Mambo ya maana ni yepi?Mambo ya kijinga kijinga tu
Ipo fresh mkuu Haina shidaJF Ipo chini au mtandao umeingiliwa na mu7
huko au shida nini?
Haiwezekani una comment zaid ya mara kumi post moja?
Active
Ni shavu kwa boxer sema dah wahindiSema Mjinga aliichapa haswaa,
Maana katumia Saa 10 Kwamba 900km/10hr unapata 90km/hr.
Hiyo Speed kwa Boxer si ndogo
Na ukumbuke ndani ha hizo 10hr maelezo hapo alifanya vituo kwa Kufanya cheking na kujaza mafuta.
Bado tuta (lazima upunguze speed)
Ina maana alikuwa akipata mnyoosho anapiga 130km/hr+ ili kufidia muda alopoteza.
Sasa Boxer ukiwa kwenye 130km/hr+ sio poaa(kifo nje nje)
Usije shangaa Jamaa akapata shavu kwa Boxer kimasiara maana ni kama Tangazo kwao kuonyesha uimara wa hizo pikipiki.
Marketing mzuri sana kwa Mo sema Kwa vile watu wake ni maknjanja ndio basi tenaSema Mjinga aliichapa haswaa,
Maana katumia Saa 10 Kwamba 900km/10hr unapata 90km/hr.
Hiyo Speed kwa Boxer si ndogo
Na ukumbuke ndani ha hizo 10hr maelezo hapo alifanya vituo kwa Kufanya cheking na kujaza mafuta.
Bado tuta (lazima upunguze speed)
Ina maana alikuwa akipata mnyoosho anapiga 130km/hr+ ili kufidia muda alopoteza.
Sasa Boxer ukiwa kwenye 130km/hr+ sio poaa(kifo nje nje)
Usije shangaa Jamaa akapata shavu kwa Boxer kimasiara maana ni kama Tangazo kwao kuonyesha uimara wa hizo pikipiki.
Kuna maeneo ambayo ni mteremko kwahiyo acceleration inaongezeka kama kitonga na kwingine atakua alikuwa ana lalanayo. May be short cut anazifaham basi anachochora kufupisha safariMbeya - Dar = 970 km.
BM 150HD ina max speed = 100 kph.
Ukiendesha kwa max speed utatumia masaa 9 dk 42.
Hapo no break, no refueling, no matuta, yaani speed 100 mwanzo mwisho.
Mbona ashakua Ambassador wa BOXER.Sema Mjinga aliichapa haswaa,
Maana katumia Saa 10 Kwamba 900km/10hr unapata 90km/hr.
Hiyo Speed kwa Boxer si ndogo
Na ukumbuke ndani ha hizo 10hr maelezo hapo alifanya vituo kwa Kufanya cheking na kujaza mafuta.
Bado tuta (lazima upunguze speed)
Ina maana alikuwa akipata mnyoosho anapiga 130km/hr+ ili kufidia muda alopoteza.
Sasa Boxer ukiwa kwenye 130km/hr+ sio poaa(kifo nje nje)
Usije shangaa Jamaa akapata shavu kwa Boxer kimasiara maana ni kama Tangazo kwao kuonyesha uimara wa hizo pikipiki.
😂😂😂😂😂Ukiwa na vifaa vyote na ukanipa baja xl tu mbeya mpaka dar km 900 natumia masaa 6 au 7 tu
bila kuvuta ganja
nikivuta ni masaa 5 tu Kwa usiku!
😂😂😂😂😂😂Aliyepunwa pikipiki haamini macho yake 😂,