Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

Mbeya - Dar = 970 km.
BM 150HD ina max speed = 100 kph.
Ukiendesha kwa max speed utatumia masaa 9 dk 42.

Hapo no break, no refueling, no matuta, yaani speed 100 mwanzo mwisho.
 
JF Ipo chini au mtandao umeingiliwa na mu7
huko au shida nini?

Haiwezekani una comment zaid ya mara kumi post moja?
Active
 
Hiii hata Juzi tunaenda Moshi nilinoti jamaa wapo na bike mpk wanafika maskani,

Mm sipandi bike kwa umbali huo aseeh afya ni muhimu sana
 
Ni shavu kwa boxer sema dah wahindi
 
Marketing mzuri sana kwa Mo sema Kwa vile watu wake ni maknjanja ndio basi tena
 
Sema nini jamaa ni piloo kinoma. Ila nini jamaa ni mjinga kinoma maana alikumbatia kifo.
 
Mbeya - Dar = 970 km.
BM 150HD ina max speed = 100 kph.
Ukiendesha kwa max speed utatumia masaa 9 dk 42.

Hapo no break, no refueling, no matuta, yaani speed 100 mwanzo mwisho.
Kuna maeneo ambayo ni mteremko kwahiyo acceleration inaongezeka kama kitonga na kwingine atakua alikuwa ana lalanayo. May be short cut anazifaham basi anachochora kufupisha safari
 
Mbona ashakua Ambassador wa BOXER.
😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…