Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Russia haiwezi kuiunga mkono India hata kidogo, kwa sababu China rafiki mkubwa wa Russia yuko upande wa Pakistan​
Maoni yako tu nadhani ujafatilia vizuli undugu wa Russia na India chunguza zaid mkuu !!!!

miaka yote ata iyo Nuclear ni Russia made. Vita vyote Russia yupo na India Russia awezi kumwacha Mashilika wake kisa China atakasilika !!!!!

Russia kwann asiwe upande wa India na Vita avimuusu China!!!!

Ata itokea Vita kati ya China na India bado Russia isamsaindia India japo kuzuiya Mashambulizi sio kushambulia kuzuiya !!!
uku Russia ikipambana kuwapatanisha !!!

Russia jukum lake ni kuwapatanisha Washilika wake ataki wapigane wenyewe kwa wenyewe !!!

Wotei w2 Washilika wa Russia kama ujaona Mwaka uliopiga India na China zinavutana kugombeya Mpaka upande wa pili yani Russia kaaandaa Mazoezi ya KIJESH yakiwashilikisha wote ao na wengine Washilika...

seem ya pili Russia mchunguze kupitia Israel japo ni Mshilika mkubwa wa IRAN !!!

Russia na India wanamikataba tangu n tangu ya ulinzi kumbuka pia Wanajesh Wa India walikufa wengi wakati wa Vita ya pili ya Dunia walipigana Upande wa Russia kuwazuiya Wajerman,, !!!

CHINA na Pakistan nao Washilika miaka mingi ata uyu Marekani kajipendekeza sana kuingia kwenye mfumo wa Jesh la Pakistan !!!

Marekani lengo lake kuwafitinisha zaid na India. WAZUNGU wanazichukia nchi zenye idadi kubwa ya watu
 
China anaweza kufika hata generation ya hamsini kwa kumodify rangi na umbo Tu 😀😀😀😀😀 nikiangalia anavyowafanyia mama ntilie na hizi infinix na techno
Hayo umesema wewe usiye na ujuzi wowote kuhusu fighter jets. ​
 
Ukaribu ulipo kati ya China na Russia kwa sasa ni mkubwa kuliko wa Russia na Iran au Russia na India

Kwa mtu nayefuatilia geo-politics na geo-economics anaelewa hilo

Russia hawezi kuwa upande wa India ikiwa China iko upande wa Pakistan.
​
 
Israel haijakutana na nchi yenye AIDS ya uhakika mara nyingi huwashambulia militias ambao hawana hata hizo AIDS.Siku akikutana na nchi yenye full air defense system hapo ndo tutajua
Atapigwa kama ngoma hadi arudi ulaya! Na mfadhili wake USA hapendi vita yenye hasara au yenye aibu
 
Naona umesahau kumeza vile vidonge vyako
 
Kwa sasa geopolitics zimebadilika.
Russia hawezi kumuunga mkono India kwasababu China ni mshirika mkubwa wa Pakistan na huyo Russia analelewa na China kwasasa.
Urafiki wa India na Russia ulishapungua nguvu kitambo sana.
 
Urusi imepoteza Wanajeshi 100,000.
Hapo urusi kakodi tagi la North Korean +China +Iran.
 
Uzi mzuri kama huu bila kusindikizwa na picha za hizo ndege mleta mada umetukosea
 
Hovyo sana yaani, ukiwa mpambe bhana, hata akinya boss wako utasema katema mate

Mtu mweusi ataendelea kuwa mweusi tu

Utwambie sasa, hizo ndege zimeangusha ndege gani huko India na idadi gani, je pcha au video zake ziko wapi?
 
Ngojeni Vita ipambe MOTO ndio mtajua kuna ndoa ya kudumu kati ya Russia na India!!!!

Mchina amejiingiza mwenyewe kwenye mzozo sio wake!!!

Russia moja ya mataifa yenye kueshimu Sheria na Mikataba!!!!

Mfano Armenia tumeona pale Armenia na Azerbaijan wote ni Washilika wa Russia !!!

pamoja na Armenia kuwa na Mkataba wa ulinzi na Russia aliacha abondwe Sababu kwenye Mkataba unasema ikiwa Armenia atavamiwa !!!

sasa mzozo ule ni Armenia ndio anazozania eneo lawatu,,!!!!
katwaa kipende cha Azerbaijan !!!

Russia alikuwa anampa pole tu Armenia japo Dini moja Orthodox

Mchina nae akiwa ndani ya mipaka ya Pakistan ujue Russia afungwi na kitu.

Mchina miaka mingi kalindwa na Russia mchina anajua Russia wemenyooka kama rula. mchina atamsaidia Pakistan kujilinda sio kuishambulia mojakwamoja India !!!

ndio pia atafanya Russia kwa India mzozo wa wa India na Pakistan auwezi kuwatoa China na Russian kwenye reli Yao...
 
Hii hahari haiko confirmed , maana pakistan ana sema 5 , wkt india anasemw kingine

So who anaeema ukweli?
 
Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba Pakistan imeangusha ndege tano za India ila ushahidi upo wa kuangushwa kwa ndege moja tu.

Pia elewa kwamba kwenye mambo haya kuna sababu nyingi pia zinazoweza kusababisha ndege kudunguliwa kama vile ujuzi wa rubani husika hata kama ndege ina sifa ya namna gani.

Nchi kama Israel inasemekana kua na marubani wa ndege za kivita wenye ujuzi na weledi wa hali ya juu sana duniani.
 
Mfa maji. . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…