Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Assad alipopoa ndege ya israel,na israel hakuingiza ndege anga la Iran,aliishia Iraq,sasa hivi israel analilia apewe ndege na USA,acha kusifia hao nguchiro wanaobebwa na USA na ulaya kila uchao
Hivi Assad yupo wapi sasa hivi? Israel walituma mademu wadogo wakaingia Iran kuichapa mle mle ndani. Kisha wakarudi kwao kwenda kupaka wanja na lipstick. Mayahudi yanatisha sana. Mpka leo Irani kimya.
 
China ni habari nyingine sema huku mtaani tunawachukulia poa kwa sababu wanatengeneza bidhaa kulingana na mfuko wetu,ila hawa jamaa ukiwapa mpunga wa maana wanakuletea mzigo mkataba.💪💪
 
Assad nchi ilimshinda, imagine mshahara wa wanajeshi ulikua dola 50,so kwa ushauri wa turkey akaamua aondoke,maana vikwazo,vita nchi ikawa inategemea dawa za kulevya kujiendesha
Kwa upande wa Iran hakuna ndege ya israel na washirika wake iliyoingia Iran,walishambulia toka anga la Iraq
 
The Hindu walireport, baada ya kubanwa na serikali ya Modi wakafuta hiyo habari.

Walichoripoti The Hindu ndicho kilichoripotiwa na Reuters na CNN

Vipi hapo bado ni habari fake?

Na mpaka sasa India haijakanusha
​
Lins from cnn na reuters
when nilikuwa na serve back in the days , i had couple of guys ambao wana fly fighter jets.
Unaweza kumpa mtanzania latest jet, na akashindwa kuitumia kummaliza adui mwenye old tech
It all about training na pilot nyuma ya control, yes aircraft zenyewe zina ubora wake but kama mafunzo na experience ni 0 ni hatari

Pakistan hao hao wa fly head to head na french airforce matokea yanaweza badilika.

So itadepend
 
Assad aliondoka kwa ushauri wa turkey?

Stfu man, that not the truth, reality is collapse of his leadership started during arab spring in 2011, by then there was anti gov protest, he responds by killing many of them
That crack started there, including civil wars, ethinic wars leading to economic collapse

He failed big time
 
It all about training na pilot nyuma ya control, yes aircraft zenyewe zina ubora wake but kama mafunzo na experience ni 0 ni hatari

Pakistan hao hao wa fly head to head na french airforce matokea yanaweza badilika.

So itadepend
Yeah!...nakubaliana na hili.

Rafale nadhani zina ubora mzuri sana huenda hata kuliko F-16, ila hapo kwenye experience ya kuzitumia ni muhimu sana.

Training hours ni muhimu sana kwenye eneo hilo.

T14 Armata
 
Mkuu nakuona unavyowabananisha wanapropaganda hadi wanaona nyotanyota 😁😁
 
Pole sana, kunywa maji mengi ukipunzishe
 
Hujamuelewa alichomaanisha.
Amemaanisha kuwa Assad ameachia uongozi kwa ushauri wa Turkey sio kwa kuondolewa kimabavu.
Kama asingekubali ushauri angeendelea kushikilia madaraka kimabavu hata kama hapendwi.
 
Unamdanganya nani wewe!?
Hizo zilizoanguka ni technical problem au inexperience ya askari wako wa JWTZ?
 
Ndio maana sikuzote lazima muuzaji wa jet awape mafunzo aliowauzia.

China ilifanya hivyo kwa Pakistan Air Force mara kadhaa wamekuwa wakifanya nao training

Dassault watengenezaji wa Rafale jets waliwapa Indian Air Force mafunzo wakiwa India na Ufaransa

Kwa hiyo wote Pakistan na India walipewa mafunzo walikuwa well trained

Mwisho wa siku kilichoamua hapo ni ubora wa jet na missiles zake

J-10CE na PL-15E missiles zikamaliza mchezo dhidi ya Rafale
​
 
China ni habari nyingine sema huku mtaani tunawachukulia poa kwa sababu wanatengeneza bidhaa kulingana na mfuko wetu,ila hawa jamaa ukiwapa mpunga wa maana wanakuletea mzigo mkataba.💪💪
Umesema vyema

Nchi za Magharibi ambazo zinasifiwa kwa kuzingatia quality na safety ni watumiaji wazuri tu wa bidhaa za China zikiongozwa na Marekani
​
 
H
Huna lolote unashabikia udini Wenzio china na Russia hata India mambo Yako ya DINI kwao ni taka taka hawapendi na hawataki kusikia
 
Mkuu iyo Rafale mbona nakumbuka ata Houthi waliisalimia moja salam aleykum nayo ikajibu waleykum Salam au nachanganya mambo.
Hivi Assad yupo wapi sasa hivi? Israel walituma mademu wadogo wakaingia Iran kuichapa mle mle ndani. Kisha wakarudi kwao kwenda kupaka wanja na lipstick. Mayahudi yanatisha sana. Mpka leo Irani kimya.
We jamaaa mpiga propaganda wa Israel usielipwa ata O Iran kapigwa wapi mbona atuoni Ushaid?
 
Unachoongelea hapo kingekua kweli kama India angepigana na Uingereza ama Usa etc

Ila tunaongelea Possibility ya India kupigana na China, no way Urusi achague upande wa india, Taifa lao litaparanganyika faster tu.

Total Exports za Russia ni hizo $394B then una China pekee karibia asilimia 30 ya hio Exports, Then total imports ni $208B na Una China ni karibia asilimia 50 ya hio imports.

EU yote ni kama $40B ambayo haifiki hata nusu ya China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…