Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko na video, tuone!!Nipo Arusha, Mrisho Gambo anashinda saa 2 asubuhi, Lema anaulizwa alichofanya Arusha amekosa jibu, alishindwa hata kuwapa pole wana Samunge waliounguliwa na soko, kwa aibu ametunga uongo wa soko kuchomwa, Lema ana hali ngumu sana, safari hii anaondoka
28/10/2020!Ndoto hii inamaanisha nini?
Lema hana hesabu mkononi, sidhani kama atapenya safari hii.Bwashee hali ya Gambo ni mbaya kweli kweli hana nafasi ya kufikisha kura 5,000.CDM kwasasa wanahofia iwapo ikitokea mgombea ubunge wa Arusha mjini kufariki kabla upigaji kura 28/10/20.
Kama Godbless Lema mwaka 2010 aliweza kumshinda yule mama aliyekuwa waziri (Matilda Buriani) na 2015 kumshinda kilaini kabisa............................
Basi Mrisho Mashaka Gambo si lolote, si chochote. Ni kama kumsukuma mlevi aliyelewa Faru John chakari....
Kitu cha kufurahisha ni kuwa, Godbless Lema, mwaka huu amekuja na staili ya kipekee sana ya kampeni zake...
Hasemi maneno mengi, bali matendo maovu na mabaya ya Gambo na mgombea wake wa Urais CCM - John Pombe ndiyo yanayowashuhudia ili wananchi waamue....
In reality, Arusha ilishampa Lema kura za ushindi, no doubt about this...!!
Bwashee majimbo ya Tunduma, Mbeya mjini, Iringa mjini, Moshi mjini, Hai, Arusha, Karatu, Kigoma mjini na Tarime yote labda uje muujiza wa Yesu ndipo CCM itayachukua! Acha ukweli ubaki kuwa ukweli tu.Mrisho Gambo atamgaragaza Lema saa 4 asubuhi!
Bwashee kama ingekuwepo nafasi ya kukipeleka chama tawala mahakamani kwa kuleta mgombea dhaifu basi ningekuwa wa kwanza kabisa.
Bwashee usiishi kwa kukariri mambo yamebadilika sana!Bwashee majimbo ya Tunduma, Mbeya mjini, Iringa mjini, Moshi mjini, Hai, Arusha, Karatu, Kigoma mjini na Tarime yote labda uje muujiza wa Yesu ndipo CCM itayachukua! Acha ukweli ubaki kuwa ukweli tuu
Mrisho atashinda kabla hata jogoo hajawika..