Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
- Thread starter
- #61
Mkuu Ngogo ukitoka Bukoba pitia hapo Nyamagana ufanye tathmini kwa kijana wetu Pambalu. Ukimaliza hapo njoo hapa Shinyanga umtathmini dada yetu Salome Makamba! Mwaka huu ma CCM yanapumulia mashine!
Kwahiyo kila mahali ni balaa hii si kawaida labda kuna miiko CCM wameivunja, ngoja niwasiliane na Mkuu Mshana Jr nadhani kafara la Mwenge limeanza kufanyakazi yake.