Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Picha?Kazi imeisha Lema kidedea Arusha ....Ule mkutano wa Lema pale Kilombero stand ni salam tosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha?Kazi imeisha Lema kidedea Arusha ....Ule mkutano wa Lema pale Kilombero stand ni salam tosha
Duniani hasa mataifa ya afrika kinapokaribia kipindi cha chaguzi mbalimbali kwenye haya mataifa, baadhi ya makundi huingiza pesa haramu kufadhili vyama ,au makundi mbalimbali ili yaunde serikali kwa makubaliano flaniflani yenye lengo la kuweka watu wao ambao watakua -remoted.
Fedha hizo huingizwa nchini si kwa ajili ya kufanyia kampeni ,bali hutumika kuandaa vikundi mbalimbali vya kihalifu kwa lengo la kufanya hujuma na mashinikizo flani yenye maslahi ya wachache na si kwa nchi husika .
Niipongeze serikali hasa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuliona hilo mapema sana .
Ifahamike vyama hasa vikubwa vya upinzani nchi kwa mujibu wa sheria vinapokea ruzuku kila mwezi, na pia huchangishana ,kazi ya fedha hizo ni pamoja na kuzitunza kwa ajili ya chaguzi mbalimbali ukiwemo na uchaguzi mkuu wa mwaka huu .
Inasikitisha kuona mgombea anatoka hadharani kulalamika ya kwamba pesa imezuiliwa kuingia nchini ,ooh! wafanyabiashara tuliokuwa tunawategemea wamehama nchi ,ni kina nani hao waliohama nchini ?na wanapodhamini uchaguzi nini matarajio yao kama si ukwepaji wa kodi?,
Suala la kujiuliza kwanini pesa hizo zije kipindi hiki cha uchaguzi ?,nani mfadhili wa hizo pesa ?anatarajia nini kwa anaowafadhili?,imani yangu kuna nia ovu dhidi ya taifa.
Uchaguzi ni mchakato wa muda mrefu wenye maandalizi ya kina yalioratibiwa kwa ustadi makini sana .
Namalizia kwa kusema wote ambao mnagombea dhamira zenu ni kujinufaisha binafsi na si taifa mtashindwa kwa aibu sana
Gambo achome soko Lema aende kutoa pole?Nipo Arusha, Mrisho Gambo anashinda saa 2 asubuhi, Lema anaulizwa alichofanya Arusha amekosa jibu, alishindwa hata kuwapa pole wana Samunge waliounguliwa na soko, kwa aibu ametunga uongo wa soko kuchomwa, Lema ana hali ngumu sana, safari hii anaondoka
Duniani hasa mataifa ya afrika kinapokaribia kipindi cha chaguzi mbalimbali kwenye haya mataifa, baadhi ya makundi huingiza pesa haramu kufadhili vyama ,au makundi mbalimbali ili yaunde serikali kwa makubaliano flaniflani yenye lengo la kuweka watu wao ambao watakua -remoted.
Fedha hizo huingizwa nchini si kwa ajili ya kufanyia kampeni ,bali hutumika kuandaa vikundi mbalimbali vya kihalifu kwa lengo la kufanya hujuma na mashinikizo flani yenye maslahi ya wachache na si kwa nchi husika .
Niipongeze serikali hasa vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuliona hilo mapema sana .
Ifahamike vyama hasa vikubwa vya upinzani nchi kwa mujibu wa sheria vinapokea ruzuku kila mwezi, na pia huchangishana ,kazi ya fedha hizo ni pamoja na kuzitunza kwa ajili ya chaguzi mbalimbali ukiwemo na uchaguzi mkuu wa mwaka huu .
Inasikitisha kuona mgombea anatoka hadharani kulalamika ya kwamba pesa imezuiliwa kuingia nchini ,ooh! wafanyabiashara tuliokuwa tunawategemea wamehama nchi ,ni kina nani hao waliohama nchini ?na wanapodhamini uchaguzi nini matarajio yao kama si ukwepaji wa kodi?,
Suala la kujiuliza kwanini pesa hizo zije kipindi hiki cha uchaguzi? Nani mfadhili wa hizo pesa ?anatarajia nini kwa anaowafadhili?,imani yangu kuna nia ovu dhidi ya taifa.
Uchaguzi ni mchakato wa muda mrefu wenye maandalizi ya kina yalioratibiwa kwa ustadi makini sana .
Namalizia kwa kusema wote ambao mnagombea dhamira zenu ni kujinufaisha binafsi na si taifa mtashindwa kwa aibu sana
Kwa hiyo hilo jimbo ni la "Saccos" au ??Ngongo,
Mzaramo kuwa mbunge wa chuga hii itakua ni dharau ya hali ya juu kabisa
Gambo amepoa mnoo Kama yuko ukweni...! Hana amsha amsha....akafie mbeleBwashee kama ingekuwepo nafasi ya kukipeleka chama tawala mahakamani kwa kuleta mgombea dhaifu basi ningekuwa wa kwanza kabisa.
Sahihi.sana..Gambo yuko kama watoto wadogo wenye aibu ya kuzungumza.
..labda atabebwa na nguvu za chama, mbinu za ushindi, na halaiki ya wanamziki, ktk kampeni.
..Gambo na Freddy Lowassa kwa kweli siasa za majukwaani hawaziwezi.
Na mimi naona,ila wabishi unapoumwa sema ili upate dawaKuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuhusu uchaguzi huu!!
Lema hajafanya kitu Ila Magufuli katekeleza ilani kwa asilimia 100 eti!!!Nipo Arusha, Mrisho Gambo anashinda saa 2 asubuhi, Lema anaulizwa alichofanya Arusha amekosa jibu, alishindwa hata kuwapa pole wana Samunge waliounguliwa na soko, kwa aibu ametunga uongo wa soko kuchomwa, Lema ana hali ngumu sana, safari hii anaondoka
Bado muda kidogo sana, itakuwa ngumu sana kuamini kuwa Gambo aliwahi kuwa hata mkuu wa wilaya achilia mbali ukuu wa mkoa! Atayaanza maisha baada ya uchaguzi akiwa hana cheo, hana kazi, hana hela wala marafiki wa kumwinua!!Wala usiogope , kuhusu soko la Samunge kuna tuhuma kwamba lilihujumiwa na Gambo ili apate nafasi ya kuchangia mabati kwa lengo la kupata kiki ( ni kweli alitoa bati ) japo hakununua yeye bali yeye ndiye aliyejulikana katoa , hata hivyo hali imekuwa ngumu kiasi ambacho yasemekana anafikiria kujitoa
Hii ipo waziUmeandika yaani Mtu akisoma anasema Mrisho kaisha kweli. Hahahaha mwisho wa siku Mrisho anaibuka Kidedea kama ilivyokuwa kura za Wajumbe. Kishindo tu. Mrisho ndio Mbunge makini atakuwa.
Tutaona kwa MdeeNgongo,
Mzaramo kuwa mbunge wa chuga hii itakua ni dharau ya hali ya juu kabisa
Mkuu Ngogo ukitoka Bukoba pitia hapo Nyamagana ufanye tathmini kwa kijana wetu Pambalu. Ukimaliza hapo njoo hapa Shinyanga umtathmini dada yetu Salome Makamba! Mwaka huu ma CCM yanapumulia mashine!Ngongo safarini Bukoba kwasasa nipo Katerero sokoni.