Uchaguzi 2020 Ubunge Arusha sasa upo wazi kwa Godbless Lema


Wapinzani huwa na ukata ktk kila uchaguzi.

Na ccm kila uchaguzi huwa na mapesa kama wendawazimu.

Huo ni ushahidi kwamba chama kinachopokea fedha za kampeni toka nje ni CCM.
 

Shida kubwa ya Watanzania mara nyingi ni kujifanya wajuaji... unajua kwamba kufadhiliwa wakati wa kampeni iko kisheria?

Una fikiri wangeropoka hadharani hao unaowaongelea?

Swali lako kwamba wanatarajia nini wakifadhili mgombea... nikuulize kwanza, achana na wafadhili wa nje, kwa nini wafadhili wa ndani watoe support kwa chama cha siasa yoyote ile? Na iko halali kisheria kabisa!!

Shida hamwelewi maana mapana ya demokrasia na jinsi kufanikisha demokrasia, tumeiokota tu kutoka kwa nchi za magharibi lakini hatuwezi ku-apply kikamilifu kwa sababu bado fikra zetu ni finyu.. halafu mabavu yanatumika na wenye nchi kwa sababu asilimia kubwa ya wananchi ni mazuzu tu, upende usipende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahaaha wasalime katerero aisee😀😀😀👍👍👍👍rip Gambo
 
Lema hajafanya kitu Ila Magufuli katekeleza ilani kwa asilimia 100 eti!!!
 
Bado muda kidogo sana, itakuwa ngumu sana kuamini kuwa Gambo aliwahi kuwa hata mkuu wa wilaya achilia mbali ukuu wa mkoa! Atayaanza maisha baada ya uchaguzi akiwa hana cheo, hana kazi, hana hela wala marafiki wa kumwinua!!

Ataiona Dunia katika uhalisia wake. Pole sana Gambo. Ulipewa cheo lakini ulinyimwa hekima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gambo hafai na Lema hafai; Wote hawafai. Mrisho ubora wake uko chini sana kwa jiji kama hilo ingawa hali hiyo ni kwa miji mingi, DSM, Mwanza, nk. kote wameweka wagombea ambao hawaoneshi ukubwa na ubora wa miji hiyo. CCM walistahili kuweka watu ambao wanaweza kufikiri na siyo kutafutia watu ajira au kutafuta watu wenye pesa ya kuweza kupiga kampeni kwa pesa zao kama aibu ya Kawe.

Lema naye ubora ni hovyo tu! Miaka yote support yake ni ya ukabila. Kuna kundi la Wachaga ambalo hula njama ili Lema apite kwa kusifia bila sababu. Najua watu watachukia lakini huo ndo ukweli!
 
Umeandika yaani Mtu akisoma anasema Mrisho kaisha kweli. Hahahaha mwisho wa siku Mrisho anaibuka Kidedea kama ilivyokuwa kura za Wajumbe. Kishindo tu. Mrisho ndio Mbunge makini atakuwa.
Hii ipo wazi
 
Sisi wakazi wa Arusha mjini hatutaki utopolo,kura kama zote ni kwa Lema,huyo mwingine asubirie uteuzi.
 
Ngongo safarini Bukoba kwasasa nipo Katerero sokoni.
Mkuu Ngogo ukitoka Bukoba pitia hapo Nyamagana ufanye tathmini kwa kijana wetu Pambalu. Ukimaliza hapo njoo hapa Shinyanga umtathmini dada yetu Salome Makamba! Mwaka huu ma CCM yanapumulia mashine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…