Uchaguzi 2020 Ubunge Arusha sasa upo wazi kwa Godbless Lema

Namuombea ashindwe siku ile alipokataza Mzee Ndesamburo asiagee keenye uwanja wa wazi nilijuwa ana laana na kizazi chake
 
nakuonea huruma. lissu na mbowe walivoenda moshi kilichowatokea ni Mungu alikua tu pamoja nao! wakanyage tena moshi watajua umuhimu wa maisha, arusha usituweke kwenye huo upuuzi wenu kwanza juzi madiwani wenu sjui 10 wamehamia ccm
Madiwani? Tayari uchaguzi umeishafanyika?
 
Mi mwenyewe niko huku shinyanga! Nilihisi huyo jamaa anahusika! kwa maana kipindi hicho, eti alihamishia ofisi yake sokoni ili kusimamia ugawaji wa viwanja! full usani! Kama baba Kama mtoto!
 
Rejea tena comment yangu,upitie mstari kwa mstari
 
Huyo ni binti tu mlainiiii sana,chuga warembo sampuli yake hutulizwa
Lema siasa zake za kutegemea kubwebwa na wachaga wenzake zimegonga mwamba safari hii, wamasai, waarusha, waislam wote wanamsapoti gambo, lema hatoboi
 
Kati ya walowahikuwa wakuu wa mikoa wenye majidai na tambo chungu nzima!
 
acha kujidanganya, Makongoro alishinda kwa nguvu ya Lyatonga Mrema kipindi kile, Lema janashinda kwa nguvu ya CHADEMA kupendwa na wachaga, sasa hivi wana arusha wamebadilika, wanataka maendeleo, mbinu za Lema zimejulikana, ungemsikia Lema anavyolia lia kwenye mikutao utacheka, sasa ivi wamasai, waarusha, waislam t wote wanamsapoti gambo, lema hatoboi
 
Wamasai wako kata ngapi Arusha, Waislam nao wako kata ngapi? Utagundua ni Olasiti na Kati tu ndio kata za hao unaotaja lakini kwingine Lema tupu
 
Wamasai wako kata ngapi Arusha, Waislam nao wako kata ngapi? Utagundua ni Olasiti na Kati tu ndio kata za hao unaotaja lakini kwingine Lema tupu
Ngarenaro, Ungalimited, Uswahilini, Kwa Morombo, wamejaa waislam, na ndio sehemu yenye watu wengi.
 
Angalizo nyote mnaojimwambafai hakikishen mnaweka ulinz kiwango cha standard geji siku ya uchaguz hatutakua na muda wa kusikiliza malalamiko ya mtu kuibiwa.
 
Hizi ndoto za mchana wananchi hatuna marejeo yoyote ya kazi nzuri aliofanya Lema Arusha mjini zaidi ameua uchumi wa Arusha kwa hyo wananchi tunasema sasa imetosha tunataka Arusha yenye hadhi yake kabla ya Lema
 
Dar siyo ya wazaramo, wazaramo kwao Pwani Dar es salaam wenyewe waarabu na sisi wajanja tuliohamia. Wametoka milima ya Matombo wakazaramia
Acha utani utani wa sampuli hiyo nitakunyima kisusio.
 
Naona kila dalili ya Lema anaenda kuivunja ile rekodi ya Sugu Mbeya 2015 ( aliongoza kwa kura nyingi).

Kilichosababisha 2015 Lema asipate kura nyingi ni ule msiba uliotokea wa mgombea ubunge Arusha Mjini ( alikuwa diwani Kimandolu akazingua akafukuzwa chama) uchaguzi ukaahirishwa hivyo baadhi hawakuwa na mzuka tena wa kupiga kura.

Nashangaa na mwaka huu kuna tetesi za mgombea ubunge Arusha Mjini anaweza kufariki!, kumbe ina maana huu mchezo hufanyika makusudi ili kuisaidia CCM ku buy time waone kama upepo utabadilika kwa kuahirisha uchaguzi?!
 
Naona kama siku haziendi..mashahidi kama mashahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…