Askarimtu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 277
- 185
Usiseme ''we'', sema, ''i am so stupid'', halafu malizia...''who cursed me??''Africans we are so stupid
Who cursed us... Should be blamed forever
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiseme ''we'', sema, ''i am so stupid'', halafu malizia...''who cursed me??''Africans we are so stupid
Who cursed us... Should be blamed forever
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa najua unazugaHata sijui unaongea nini. Ova.
Utakuwa ndio mwisho wa umaarufu wa Diamond. Ndani ya bunge hatakuwa na chochote cha kumpa umaarufu..Alipo Diamond ni juu zaidi ya wabunge kiuchumi na kiumashuhuri.....sasa anafuata nini kule bungeni ni siku hizi hakuna dili? Hata Harmonize namuonea huruma sababu hajui sarakasi za sihasa...na washauri wake wanafuata upepo
Hii nchi imekua kituko kwakweli halafu eti akienda immigration au baadhi ya ofisi za Serikali ukiwa umevaa Jean's anazuiwa kuingia kwa sababu unaonekana muhuni Sasa huyu wa kusuka je ... jamani nakaa pembeni nachekiiii halafu nasema hiiiiii yaaaniHuu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Sio lazima awe yeye,,inaweza pia kutumika influence yake kukipata hicho kitiKabisa yaani. Wewe tuna mtazamo sawa. Diamond ni mkubwa kuliko ubunge. Akienda huko naona atapotea tu. Maana kwenye music yake yupo Ontop kabisa kwa sasa.
Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Yawezekana ni mbinu ya serikali kuwafanya vijana hawa waanze kutunga nyimbo za maadili. Maana wakiachwa kwa mwendo wao walionao, watapoteza kizazi chetu cha sasa na vijavyo kwenye mambo ya 'ufuska' na utovu wa nidhamu. Wewe huoni sugu alivyotulia baada ya kuwa mbunge.Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Ndio maana unakuwa na povu kama lote unabandika upupu tu!!?Hapana hizo ni kazi za walioingia darasani mimi sikupata bahati hiyo.
Ni bora aondoke akiwa bado yupo juu....Kabisa yaani. Wewe tuna mtazamo sawa. Diamond ni mkubwa kuliko ubunge. Akienda huko naona atapotea tu. Maana kwenye music yake yupo Ontop kabisa kwa sasa.
Ndiyo!Kwako wewe wapinzani wakikosa kurudi kwenye uchaguzi ndiyo itarudisha thamani ya shilingi dhidi ya dola ya Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msomaji wa upupu na yeye ni upupuNdio maana unakuwa na povu kama lote unabandika upupu tu!!?
Mkuu kuweka kumbukumbuku sawa mnyika yupo jimbo la kibamba,ubungo ni kubenea .Ubungo Marioo vs Mnyika. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona Swazineger alikuwa Gavana wa Texas kwa miaka mingi, Man Paciao ni mbunge bobby wine sugu profJ, muda mwingine wananchi wanahitaji faraja zaidi.Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma zaidi kuliko Zitto?
Mkata viuno anakuwa mbunge only in black continent!
mbunge anatakiwa awe anajuwa kusoma na kuandika tuHilo bunge 2020, Harmonise, Diamond na bado Shilole .
Kwa akili za Watanzania, Diamond hata akigombea Urais anashinda. Ila Diamond hajijui tu kuwa yeye ni mkubwa kuliko wanasiasa.Tena akigombea Kigoma atashinda asubuhi kabisa.