Nani kaanza? Hakuna aliyemkamilifu mkajifanya nyie ndio mnajua kuliko tume sasa yamewageuka, Mmeyakoroga mtayanywa tu na bado [emoji2] [emoji2]Ila busara itumike, waache washindane, mbona kushinda tu safari hii ni ngumu!!
Cha kusikitisha ACT wazalendo ndiyo imesababisha hili
Kama CCM inaogopa wapinzani, kwanini tu isifute mfumo wa vyama vingi ibaki yenyewe ikiranda Kama kunguru
KabisaaaTena ukishajua wewe ni chama cha upinzani ,umakini unatakiwa uwe mkubwa sana tena sana. CCM itakuwa kila jimbo kuna mtu anaelekeza jinsi ya kujaza kwa wale wenye ugumu kwenye kujaza form.
To be honest. Chadema hawako well organised.
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Magufuli nia yake ni kufuta kabisa upinzani ili nia yake ya kutawala mpaka kifo itimie. Hivyo lazima kuwa makini ili kumu Out Smart.Hata zikikosewa kujazwa basi tume wanafunika kombe mwanaharamu apite!Hivi uchaguzi huu ni wa kutafuta bingwa wa kujaza fomu au mwakilishi wa wananchi?shame!
Pole yake
ACT ndo walimwekea pingamizi kumbe ??Yeye pia alimwekea pingamizi Kitila. Mkuki kwa Nguruwe kwa binadamu mchungu.
Beach bata party imeisha?Kama CCM inaogopa wapinzani, kwanini tu isifute mfumo wa vyama vingi ibaki yenyewe ikiranda Kama kunguru
Kawekewa pingamizi na mpinzani mwenzie na hoja za pingamizi zimeshinda, sheria ni msumeno.Hiyo sheria inaengua wapinzani tu? Mkuu acha kutema utopolo.
Huu uhuni unatosha sasa, hivi huyo Mwenyekiti wa Tume haoni aibu kuwaengua wagombea wa upinzani pekee?!
Kwa hiyo sheria za uchaguzi zisiginwe ili kuruhusu hata wasiojua kusoma na kuandika wagombee?Ila busara itumike, waache washindane, mbona kushinda tu safari hii ni ngumu!!
Cha kusikitisha ACT wazalendo ndiyo imesababisha hili
Aliwekewa pingamizi na ACT mnawasungizia CCM jamaniCCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao.
Hakuna vita tanzania msijitie ujunga vichwani mwenu
Sasa chadema inaanza kuandamana nchi nzima. Wakiwagusa waraka wa kukamatwa John unatolewa
Yaani CCM na tume yao hawatuonei huruma wapiga kura na wananchi kwa ujumla. Wameamua kwa makusudi kuisukuma nchi hii kuelekea kwenye machafuko. Haya, acha tuzame. Mungu anawaona.