HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Ujinga wake ni upi. Chuki zisizo na kichwa wala miguu. Uwezi na hutokaa ufikie alipo... Punguza roho mbaya.Hii sio breaking news! Ila nimefurahi hilo lijamaa kuenguliwa, ni jinga sana hilo jamaa. Nimefurahi sanaa
Hakuna aliyekosea sheria na kanuni za uchaguzi
Barua si unaiona... Zoom uangalie kumeandikwa nini!Sababu za kuenguliwa ni nini? Leta habari iliyokamilika sio kuwahi kuleta vitu nusunusu.
Wewe ungekuwa unazijua ungekaa kwenye korido za Lumumba ukilipwa buku7?Hahaha hata sheria ya kimataifa hujui, kaz kujanbajamba tu hapa.
Mkuu fomu zinajazwa kwa matakwa ya sheria ya tume ya uchaguzi,na sio kwa kufunika kombe mwanaharamu apite.Swala la kujiuza kwa nini,wabunge wa zamani wote,fomu zao ziko sawa?Hata zikikosewa kujazwa basi tume wanafunika kombe mwanaharamu apite!Hivi uchaguzi huu ni wa kutafuta bingwa wa kujaza fomu au mwakilishi wa wananchi?shame!
Mbona unapenda sana kutukana wazazi wa wachangia mada? Naambiwa wewe ni mzee wamakamo! Jiheshimu mzee!!jinga kama mama yako
Hakuna sheria ya uchaguzi ya tangu 1985 ni ya 2010Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Sheria ya uchaguzi ni ya mwaka 1985 sema ilifanyiwa revision 2015.Hakuna sheria ya uchaguzi ya tangu 1985 ni ya 2010
Kwani hizo fomu zina ugumu gani hadi wakosee? Mwenye nazo aziweke hapa tuzione..Nani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.
Tuambie wa ccm hata diwani tu aliyeenguliwa, sasa wewe huoni huu ni uhuni, woga na kutokujiamini pamoja na kujidai kujenga madaraja?Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Tusibweteke na hii amani iliyopo,haki huimarisha amani!Amani itaendelea kuwepo tu! Ila mkileta cha kuleta watz watawathibiti tu.
Atakua hajajaza fomu vizuri si nimesikia wagombea wengine wanaandika wamezaliwa mwaka huu
Wewe ungekuwa unazijua ungekaa kwenye korido za Lumumba ukilipwa buku7?
Naona wewe ni mnyarwandaAkikosea mgombea wa CHADEMA kisha akaenguliwakwa sheria aliyosaini kuikubali ni kuvuruga amani ya nchi?
Chadema wamebeba amani ya nchi hii? Tangu lini
mtumwa wa kisiasaKwanini haelezi mapungufu analialia?
Hamna jeuri hiyo nyinyi wategemezi wa mabeberu kwa kila kitu hadi bajeti yenu tuAmani itaendelea kuwepo tu! Ila mkileta cha kuleta watz watawathibiti tu.
Hayo Makosa madogo wanafanya Upinzani tuNani analipiza kisasi? Tatizo walichukua form kabla hata ya wana CCM huo muda walitakiwa watumie kuwasumbua wakurugenzi kuhakiki form kama kila kitu kipo OK.Yaani safari hii Tume wapo macho kosa dogo tu linakuengua. Enzi za JK waliyemwita dhaifu zilishapita.