Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
John anahusikaje? Yeye kwa sasa ni kama Lissu, Lipumba, Hashim, Membe etc, wote ni wagombea urais!
 
Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Mnatia aibu kulalamika kila mara mkitendewa lililo haki. Pale Lissu, mgombea Urais CHADEMA alipowawekea pingamizi wagombea wa CCM na CUF, mbona wahusika walilipokea kistaarabu. Kuna kanuni na taratibu za kufuata iwapo mgombea ataenguliwa pasipo kufuata sheria.

Hiyo hoja yako ya kuipeleka nchi pabaya ni kinyume ukimaanisha viongozi wa CHADEMA wanakipeleka chama pabaya kwa kauli na matendo yao, hasa ya jana kwenye ufunguzi wa kampeni za chama.
 
Nadhani jamani imeonekana wazi wazi hata na watoto wadogo kwamba hakuna haki na sasa basi! Naelewa kinachoendelea hata wakati wa ukombozi wa Waisraeli kule utumwani Misri, Mungu aliufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili ampige kisawasawa, ndilo linalotokea hapa kwetu nasema tusubiri, sikio la kufa halisii dawa.
Mpaka tarehe ya uchaguzi watakuwa wameisha wote

View attachment 1551731
CCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao...
Kwanini kaenguliwa mkuu!? Chanzo cha kuenguliwa ni kipi!?
Kumekucha
Tutafika
Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
CCM inalinajisi Taifa
Vita inalazimishwa kwa udi na uvumba
Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
Hiyo sheria inaengua wapinzani tu? Mkuu acha kutema utopolo.
 
Acha kuandika ujinga basi
 
Hii nchi mpaka tutandikane ndio heshima itakuwepo.
 
Ni yule yule mkurugenzi aliyempora umeya , rufaa imekwenda tume ya uchaguzi tusubiri
 


Unajua ,,masia wenu“ Tundu Lisu alienda kumshtaki Raisi Magufuli Tume ya Uchaguzi na kutaka aenguliwe kwa kosa gani? Unaijua sababu ya mtoto wa Taifa kumshitaki Raisi Magufuli?
 
Hiyo hoja yako ya kuipeleka nchi pabaya ni kinyume ukimaanisha viongozi wa CHADEMA wanakipeleka chama pabaya
Hapana. Hii tabia chafu isiyo kidemokrasia ya kuenguana haikuwepo ktk awamu zilizopita. Muasisi wa ukandamizaji huu wa demokrasia ni John. Ndiyo maana analaumiwa Sana na anastahili lawama.
 
Naamini kaenguliwa kwa mijibu wa sheria za uchaguzi za Nchi ,sheria hii nadhani imekuwepo tangu 1985, pia Lisu kaitumia kumwekea pingamizi Komrade JPM na wagombea wengine. Hapa JPM anahusikaje?!
Kaka ile slogan ya "great thinkers" mmebaki nayo ninyi hawa wengine wanapinga tu kwa kwenda mbele hawana hoja wapo wapo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…