Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
Ni mkimbizi kutoka rwanda kwa kagame japo alikuja nchini akiwa mdogo sana
 
Ccm peke yao ndio wanajua kujaza fomu.
Huu ni uchaguzi wa kwanza Chadema ??
Sema sababu kwa nini wamekuengua. Tatizo mnakosea kujaza form halafu mnalalamika.Wewe pia si uliweka pingamizi Kitila kakosea ,pingamizi limeishia wapi ?
 
Mpaka tarehe ya uchaguzi watakuwa wameisha wote

View attachment 1551731
Umesema umepewa barua,ya kuenguliwa,lakini hutuambii hiyo barua imesema nini sababu za kukuengua,ambazo tuma hakika zimeanis
Mgombea anasema amepewa barua kuelezewa sababu za kuenguliwa kwake.Sasa badala ya kutueleza hizo sababu ili tuweze kuzichanganua na kuwa NA UWEZO WA KUMSAIDIA ANASEMA nimekatwa kihuni.Sasa tumsaidiaje?
 
Ccm peke yao ndio wanajua kujaza fomu.
Huu ni uchaguzi wa kwanza Chadema ??
Halafu mnasahau ACT ndo waliomuwekea pingamizi. Pingamizi limetick,hapana chezea Kubenea. Upanga kwa upanga.Bon ulimpiga vita Kubenea ili ugombee ubunge Ubungo. Kiko wapi ???
 
Mi nashangaa mtu eti anapambana hadi anataka kufa kisa akanitete bungeni hivi upo siriazi kweli? Yaani ujitolee kufa ili ukanitetee bungeni? Nitolee upumbavu wenu hapa.
 
Ukiona hivyo jua sababu zina mashiko.Anaogopa kuzitaja. Kubenea kalipa.
 
Halafu ACT ndo waliweka pingamizi. Kubenea naona kaamua kulipa fitina alizofanyiwa na X mayor wa Ubungo.
Hata mgombea wa ACT anaenguliwa. Plan ni kuwa ikifika tarehe ya uchaguzi wagombea wote wa ACT na Chadema waenguliwe. Katiba za Zanzibar na Tanzania bara wanataka zibadilishwe
 
Huu ujinga Sasa mwisho...
Waambie uchizi wa jiwe mwisho chato
Halafu mnasahau ACT ndo waliomuwekea pingamizi. Pingamizi limetick,hapana chezea Kubenea. Upanga kwa upanga.Bon ulimpiga vita Kubenea ili ugombee ubunge Ubungo. Kiko wapi ???
 
Barua uliyopewa imeeleza Sababu zipi za kuenguliwa?
Itapendeza ukituwekea hiyo barua na kama hujaridhika kata rufaa
 
Wapumbavu mko wengi
Mi nashangaa mtu eti anapambana hadi anataka kufa kisa akanitete bungeni hivi upo siriazi kweli? Yaani ujitolee kufa ili ukanitetee bungeni? Nitolee upumbavu wenu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…