Uchaguzi 2020 Ubungo, Dar: Boniface Jacob wa CHADEMA aenguliwa kugombea Ubunge

Hivi nyie watoto huyo dogo Robert ndio mnamtegemea dhidi ya maamuzi ya watanzania
John kaufyata kwa hili beberu , Robert Amsterdam. John alisema ooh Lisu asirudi. Sasa karudi na anatamba mikoa yote na Chato ataenda.
 
Alisema anatoa onyo lwa mwisho. Kuna watu humu wakasema hicho kifaa ni hatari.

Kifaa kimewekwa kando. Manina.
 
Wote tuseme "I knew it"...ukisikia figisu ndio hizi sasa.
 
Uhuni huu "wa kukosea kwenye fomu" unafanywa kama ilivyowekwa wazi kule Moshi. Chadema walipewa fomu zenye dosari, na risiti bandia. Ripoti ilikuja hapa JF.

Huu ni uhuni unaotia doa kubwa kwenye kazi anazofanya Rais Magufuli. Asipokemea hili nitamshangaa sana. Lakini tukumbuke msemo wake: Nikuteue mimi kisha unitangazie mpinzani kashinda? He might be the "casus belli"

Hawa wana CCM wanaotumia mbinu hizi ili kuhodhi madaraka ni kizazi cha nyoka. Ni walafi na walevi wa madaraka kupita maelezo.
 
Naingojea ya huko kanda ya nyanda za juu kusini nione
 
CCM wanapanga ushindi wa mezani lakini hawajui Aliye juu ya vyote anapanga nini juu yao...
Ila huyu bwana ni mwoga sana..

Na hii indhihirisha bado watanzania wengi wanaimani na vyama vya upinzani.

1. Toka 2015 amesikika pekee yake kwenye vyombo vyote vya habari na kufanya siasa akiwa pekee yake huku ameziba vyama vya upinzania.. cha ajabu 2020 bado hajiamini kwamba atashinda na kuamua kufanya vitendo vya ovyo ambavyo havija wahi kutendeka hat wakati wa chama kimoja.

2. Toka 2015 wametuaminisha na kutumia gharama kubwa za propaganda kwamba wanafanya mambo makubwa hata ficha madeni ambayo wamekopa .. cha ajabu 2020 wanaogopa sanduku la kura kuliko hata 2015.

Huu ji utawala ulio laanika na hauta kuja ukubalike kamwe hapa Tanzania..
 
Itakua kongo muda si mrefu

Wakati una dili na watu wako wa ndani, wary wa nje huona hiyo ndio fursa.

Tanzania inahitaji kuombewa.
Duuh! CCM wanaipeleka nchi pabaya. Huyu John ni mtanzania wa asili kweli?

Mm taratibu naanza kuamini maneno ya Mange Kimambi kuhusu uraia wa huyu John
Anataka aitumbukize nchi ktk vita ili ifanane na Ileee.
 
Kwanini kaenguliwa mkuu!? Chanzo cha kuenguliwa ni kipi!?
Tunaambiwa mtu kaenguliwa bila kuambiwa sababu; inawezekana kaenguliwa kisheria au kaenguliwa kwa kuonea. Yote inategemea na sababu zilizotolewa
 
Kabisa mkuu
Hawa watu wanapima upepo kwenye maisha ya watu... (Ken...ge) hawa
 
Tena ukishajua wewe ni chama cha upinzani ,umakini unatakiwa uwe mkubwa sana tena sana. CCM itakuwa kila jimbo kuna mtu anaelekeza jinsi ya kujaza kwa wale wenye ugumu kwenye kujaza form.

To be honest. Chadema hawako well organised.
Hata zikikosewa kujazwa basi tume wanafunika kombe mwanaharamu apite!Hivi uchaguzi huu ni wa kutafuta bingwa wa kujaza fomu au mwakilishi wa wananchi?shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…