Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ulivyowaona ukaacha kuwauliza unakuja hapa kutulilia!
Ona ulivyo mpumbavuUlivyowaona ukaacha kuwauliza unakuja hapa kutulilia!
Ona huyu mvuta bangi mbichiMtanikumbuka πππ₯
mi-CCM ime lack creativity, akili yote iko kwenye chaguziBaadhi ya mitaa ya Dar ina wiki ya pili sasa hakuna huduma ya maji. Mambo yanavyokwenda chini ya serikali ya SSH yanasikitisha.
mi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusikaNi udhihirisho kuwa hakuna mifumo inayofanya kazi. Siku 5 hakuna suluhisho kwa tatizo dogo lisilohitaji complez technology, je yakija makubwa, si tutaishi nayo milele?
Hapa ndio mwisho WA akili zakoUlivyowaona ukaacha kuwauliza unakuja hapa kutulilia!
Ulivyowaona ukaacha kuwauliza unakuja hapa kutulilia!
Usichanganye siasa na changamoto mliyo nayo huko ulikokutaja. CCM kusherehekea miaka 47 hakuna uhusiano na changamoto iliyopo. Ni sawa na we kusherehekea siku yako ya kuzaliwa ingali una changamoto. Km ni siasa elekea upande huo usichanganye mambo.Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji.
Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa siku, unashindwa hata kupampu maji ya kizima.
Cha ajabu, kuna "Simblisi" ziko mahali zinajiandaa kusherehekea miaka 40+ ya chama kibovu namna hii.
Hii nchi haiishi vituko kila siku.
View attachment 2897528
Nafikir mambo mengine japo ccm inahusika lakin yako attached sana na utendaji na watemdaji wa serikali katika taass husika. Taasis ambazo ni za kiraia zisizobagua vyama, yan huko tuko mimi na wewe.mi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusika
Mfuate hakuna mwenye akili timamu atamkumbuka huyo shetwani. Labda ww na wehu wenzio sukuma gangMtanikumbuka πππ₯
Hakuzidi weweOna ulivyo mpumbavu
Kaoge Baharini kama ilivyokuwa 2013 tutusa wahed πOna huyu mvuta bangi mbichi
ULitaka wabishane na nyumbu walokula bangi mbichi? Hawawezi kujibizana na wapumbavumi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusika
Upumbavu ni kukosa maji na Umeme na huku mnajinasibu Mama anaupiga mwingi, nyie Watu mmefyatukaULitaka wabishane na nyumbu walokula bangi mbichi? Hawawezi kujibizana na wapumbavu
TwendeKaoge Baharini kama ilivyokuwa 2013 tutusa wahed π