Ubungo, Mabibo, Mburahati, Manzese hakuna maji siku zaidi ya tano sasa

Ubungo, Mabibo, Mburahati, Manzese hakuna maji siku zaidi ya tano sasa

Hapa itakuwa umeepukana na haya makumanyoko CCM...

Sema so Kila mtanzania Ana uwezo huo.
Ni kweli Mkuu.

Ila nimegundua hii Nchi Viongozi wanahujumiana, maana wakati wa JPM hakukuwa na mgawo Mkubwa hivi wa Umeme.

Na hebu chukulia una biashara ya Viwanda sijui hali ya production inakuwaje Kwa Umeme huu wa kiwaki.

Ama Mjasiriamali wa kuuza nyama na Samaki
 
Aasa
Ni udhihirisho kuwa hakuna mifumo inayofanya kazi. Siku 5 hakuna suluhisho kwa tatizo dogo lisilohitaji complez technology, je yakija makubwa, si tutaishi nayo milele?
Sasa maandamano yana faida gani? Hakuna kinachobadilika sasa mnaacha kazi jumatano mnaenda kupiga selfie na makamanda wa jeshi la polisi.
 
Back
Top Bottom