Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Watendaji ambao wakisimama madhabahu za kisiasa wanaitetea CCM kwa fahamu zao zote....Nafikir mambo mengine japo ccm inahusika lakin yako attached sana na utendaji na watemdaji wa serikali katika taass husika. Taasis ambazo ni za kiraia zisizobagua vyama, yan huko tuko mimi na wewe.
Serikali na CCM ni damu na kirusi