Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 16,096 Reaction score 49,651 Feb 9, 2024 #81 data said: Hapa itakuwa umeepukana na haya makumanyoko CCM... Sema so Kila mtanzania Ana uwezo huo. Click to expand... Ni kweli Mkuu. Ila nimegundua hii Nchi Viongozi wanahujumiana, maana wakati wa JPM hakukuwa na mgawo Mkubwa hivi wa Umeme. Na hebu chukulia una biashara ya Viwanda sijui hali ya production inakuwaje Kwa Umeme huu wa kiwaki. Ama Mjasiriamali wa kuuza nyama na Samaki
data said: Hapa itakuwa umeepukana na haya makumanyoko CCM... Sema so Kila mtanzania Ana uwezo huo. Click to expand... Ni kweli Mkuu. Ila nimegundua hii Nchi Viongozi wanahujumiana, maana wakati wa JPM hakukuwa na mgawo Mkubwa hivi wa Umeme. Na hebu chukulia una biashara ya Viwanda sijui hali ya production inakuwaje Kwa Umeme huu wa kiwaki. Ama Mjasiriamali wa kuuza nyama na Samaki
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 19,687 Reaction score 23,689 Feb 9, 2024 #82 Aasa Bams said: Ni udhihirisho kuwa hakuna mifumo inayofanya kazi. Siku 5 hakuna suluhisho kwa tatizo dogo lisilohitaji complez technology, je yakija makubwa, si tutaishi nayo milele? Click to expand... Sasa maandamano yana faida gani? Hakuna kinachobadilika sasa mnaacha kazi jumatano mnaenda kupiga selfie na makamanda wa jeshi la polisi.
Aasa Bams said: Ni udhihirisho kuwa hakuna mifumo inayofanya kazi. Siku 5 hakuna suluhisho kwa tatizo dogo lisilohitaji complez technology, je yakija makubwa, si tutaishi nayo milele? Click to expand... Sasa maandamano yana faida gani? Hakuna kinachobadilika sasa mnaacha kazi jumatano mnaenda kupiga selfie na makamanda wa jeshi la polisi.