Ubungo mataa: Trafiki agongwa na pikipiki akikimbilia kusimamisha lori

Kwa kawaida ukiona mtu anafurahia mabaya yamkute mwingine,ana ushetani mwingi sana chini ya moyo wake umejaa.

Binaadam msafi wa moyo haijalishi kaumizwaje,ila mbaya wake yakimfika ya kuliza naye hulia pia.

Nakubali mkuu nikikumbuka jiwe alivyokua anafurahia mateso kwa wengine.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]hii ndio Bongo nyoso
 
Kazi wanafanya ila baadhi wanaoenea kama huyo trafic madereva wengi hawampendi nasikia hana huruma kabisa
Yana roho mbaya sana haya majitu

Na ndo maana hayajawahi kutusua life, wengi wamejaaa wivu, roho mbaya na msongo wa mawazo...

Nina kisasi nao cha kulipa fain ya kupakaziana, so kishandu kanisuuza nafsi
 
Ukiona hivyo huyo trafic police arobaini zake zimetimia, kwa uonevu aliozoea kuufanya.
Nakubaliana na wewe mkuu[emoji848][emoji848]

Na asipokufa akatoe sadaka na aache uonevu kwa binadamu wenzake!

Yaan yanajionaga yako juu ya sheria
 
Yana roho mbaya sana haya majitu

Na ndo maana hayajawahi kutusua life, wengi wamejaaa wivu, roho mbaya na msongo wa mawazo...

Nina kisasi nao cha kulipa fine ya kupakaziana, so kishandu kanisuuza nafsi
Duu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…