UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

"..Kuzindua na sio kufungua..." ujinga ni mzigo

Mbona Wakati Kampain za uchaguzi Mkuu zilivyopamba moto Tuliona yule Rais wa Zambia/Malawi Akaja Kufungua, so Ufunguzi unafanyika mara ngapi??
Ukiona hivyo amekosa eneo lingine la kuonekania, leo tuko ubungo, sijui atatoa boko gani leo
 
Mbona Wakati Kampain za uchaguzi Mkuu zilivyopamba moto Tuliona yule Rais wa Zambia/Malawi Akaja Kufungua, so Ufunguzi unafanyika mara ngapi??
Awamu hii wanafungua vitu mara mbili mbili hujaona ndugu? Yaani tumekuwa Taifa la vichekesho tupu. Mabango kila mahali hadi kwenye vijengo vidogo vidogo......Strange!
 
...

Barabara imeshafunguliwa rasmi na kupewa jina la Daraja la Juu la Kijazi.
... wahandisi wameamua kuyapa madaraja majina ya wahandisi wenzao - Mfugale (Civil Engineer, TANROADS - Wizara ya Ujenzi); Kijazi (Civil Engineer, Wizara ya Ujenzi enzi hizo) ... Kama ni hadhi Maalim Seif na Kijazi nani alikuwa na hadhi zaidi? Na hata aliyetangulia ni Maalim!
 
Kuna mada nyingine mnazo zi rise hazina haja ya kuziongelea kabisaaa
 
... wahandisi wameamua kuyapa madaraja majina ya wahandisi wenzao - Mfugale (Civil Engineer, TANROADS - Wizara ya Ujenzi); Kijazi (Civil Engineer, Wizara ya Ujenzi enzi hizo) ... Kama ni hadhi Maalim Seif na Kijazi nani alikuwa na hadhi zaidi? Na hata aliyetangulia ni Maalim!
Maalim Seif kajenga barabara gani?
 
Akitoka hapo aende akafungue waterloo international Bus terminal pale mbezi.
 
Back
Top Bottom