KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,159
- 5,070
Kuna waganga wa aina nyingi. Wapo wale ambao tunawaona katika vituo vya afya na wale ambao hujulikana kama waganga wa kienyeji. Nadhani katika maelezo yako hapo juu unawaasa wote ambao wataona dalili za pumzi kukatika waende vituo vya afya kuonana na waganga waliopo katika vituo hivyo. Pia umewaonya wanaougua wasiende kwa hao wajulikanao kama waganga wa kienyeji. Asante.Safii ni ukamilikaji kwa ilani ya chama cha mapinduzi.
Tuoshe mikono na tuvae barakoa ukiona dalili usiache kwenda kituo cha afya usinde kwa mganga!