UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

Safii ni ukamilikaji kwa ilani ya chama cha mapinduzi.

Tuoshe mikono na tuvae barakoa ukiona dalili usiache kwenda kituo cha afya usinde kwa mganga!
Kuna waganga wa aina nyingi. Wapo wale ambao tunawaona katika vituo vya afya na wale ambao hujulikana kama waganga wa kienyeji. Nadhani katika maelezo yako hapo juu unawaasa wote ambao wataona dalili za pumzi kukatika waende vituo vya afya kuonana na waganga waliopo katika vituo hivyo. Pia umewaonya wanaougua wasiende kwa hao wajulikanao kama waganga wa kienyeji. Asante.
 
Serikali ikiongozwa na Rais Jemedari Dr. John Magufuli leo tarehe 24/2/2021 imempatia heshima ya kipekee aliyekuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma Hayati Balozi Mhandisi John Kijazi

Daraja la Juu la kipekee Nchini Tanzania lililoko mkoani Dar es Salaam ambalo limezinduliwa leo litaitwa *KIJAZI INTERCHANGE
 
Hivi mkuu kweli ina maana tangu asubuhi thread zote zilizoanzishwa na kuchangiwa juu ya hili kweli kabisa nawe unaona uanzishe tena thread. Mbona mnapendaga sana kujaza server nyie jamaa. Si ungeenda kuchangia kule tu
 
Aina maana alikuwa hali hakufanya hivyo ni unafiki tu.
 
Serikali ikiongozwa na Rais Jemedari Dr. John Magufuli leo tarehe 24/2/2021 imempatia heshima ya kipekee aliyekuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma Hayati Balozi Mhandisi John Kijazi

Daraja la Juu la kipekee Nchini Tanzania lililoko mkoani Dar es Salaam ambalo limezinduliwa leo litaitwa *KIJAZI INTERCHANGE
Kwa hiyo ?

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ikiongozwa na Rais Jemedari Dr. John Magufuli leo tarehe 24/2/2021 imempatia heshima ya kipekee aliyekuwa Mkuu wa Utumishi wa Umma Hayati Balozi Mhandisi John Kijazi

Daraja la Juu la kipekee Nchini Tanzania lililoko mkoani Dar es Salaam ambalo limezinduliwa leo litaitwa *KIJAZI INTERCHANGE
Siyo FLYOVER tena ?
Baada ya kugundua kuwa wabongo wanaelewa nini maana ya Flyover
 
Aina maana alikuwa hali hakufanya hivyo ni unafiki tu.
Hii inchi inaendeshwa na mihemko ya MTU mmoja yaani huyu angekuwa rafiki wa HAMORAPA tungesikia hiyo interchnage imepewa jina la.HARMORAPA
 
Kuna waganga wa aina nyingi. Wapo wale ambao tunawaona katika vituo vya afya na wale ambao hujulikana kama waganga wa kienyeji. Nadhani katika maelezo yako hapo juu unawaasa wote ambao wataona dalili za pumzi kukatika waende vituo vya afya kuonana na waganga waliopo katika vituo hivyo. Pia umewaonya wanaougua wasiende kwa hao wajulikanao kama waganga wa kienyeji. Asante.
Tumezoea mganga anakua wa kienyeji nikitaka kusema mganga wa hospital lazima ningesema bwana mganga ahsante!
 
Safii ni ukamilikaji kwa ilani ya chama cha mapinduzi.

Tuoshe mikono na tuvae barakoa ukiona dalili usiache kwenda kituo cha afya usinde kwa mganga!
Wacha uchochezi wewe ,hapa kwetu hakuna corona
 
Safi sana kama Daraja limeitwa KIJAZI, Huyo Mzee amelifanyia mengi Taifa hivyo anapaswa kuenziwa.
Aliye lifanyia taifa mambo mengi ni marehemu baba wa taifa mwl JK Nyerere.

Hao wengine ni mbwembwe
 
Back
Top Bottom