Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alichora nani Sasa?Kuna hizi taarifa kuwa Mfugale amechora mmadaraja hayo, sio kweri kabisa. Mgugalle ana sifa zake ila hizi sio za kweri. Mods musifute
Hata mke wake akifa leo daraja au soko au stendi au mkoa utapewa jina lake kwa vigezo bila yeye kumpikia asingekuwa hapoMambele Mambele tu.
1) Golden Gate Bridge..
Hiyo yote ni juhudi ya watafuta teuzi kumkweza mtu aliyeporomoka kabla hata hajaanza kukwea mpaka anaonekana mpenda vituko vya kijinga.Hilo ni daraja sio interchange tusidanganyane.
Labda atwambie maana kapinga Kwa nguvu zote aiseeKumbe alichora nani Sasa?
Sasa mkuu ulitaka hii awamu ifanye nin , kama ni maono ya viongozi waliopita ni sahihi yeye Jiwe kuyatekeleza .... Au Kwa vile hatoi credit Kwa waliomtangulia 😀 yakimalizika kama na yeye ana maono yake yatatekelezwa na wengine ....hayawez kutetelezwa yote Kwa pamoja .... Mi napishana na JPM Tu kwenye vipaumbele vya sifa ambazo haziaksi maisha ya watz wengi....Hiyo yote ni juhudi ya watafuta teuzi kumkweza mtu aliyeporomoka kabla hata hajaanzaa kukwea mpaka anaonekana mpenda vituko vya kijinga. Hayo ni madaraja ya barabara juu ya barabara na Mradi huo ni wa Awamu ya Nne hata yanayoendelea kujengwa sehemu mbalimbali za Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na lile la Bocco Beach.
Kutawala ni udikteta, kuongoza na kutawala ni vitu viwili tofautiRais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atawale Tu
Kutawala ni udikteta, kuongoza na kutawala ni vitu viwili tofautiRais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atawale Tu
Taja angalao 5 kati ya hayo mengi.TujielimisheSafi sana kama Daraja limeitwa KIJAZI, Huyo Mzee amelifanyia mengi Taifa hivyo anapaswa kuenziwa.