UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

Waziri wa ujenzi yupo wapi? Naona naibu waziri ujenzi kamkaribisha Raisi.
 
Atazindua mpaka ikulu ya magogoni mwaka huu hana mipango saiz ana bwabwaja tu nyumonia inamchanganya.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hawa wanatengezaga vistory vya kipuuzi ili wapate mijadala kwenye social media.......
 
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini(TANROADS) Injinia Patrick Mfugale alitangaza Daraja la Ubungo kuanzia kutambulika kwa jina la Daraja la Kijazi.

#ITVUpdates
Screenshot_20210224-112016_Facebook.jpg
 
Hivi wapinzani wako wapi! Mbona hatuwasikii tena? Hata kuitisha press conference zao walizozizoea hakuna!
Kwani, CCM imetekeleza yote waliyokuwa wanapinga? Kimya kimekua kingi - kumebaki na wapinzani wachache (vibarakoa) ndio wanasikika tu!
Siobwanafiki
 
Leo nilipokua nakuja nilipita Mwenge, nimeshangaa sana! Nimeshangaa! Ukigeuka kushoto kulia unaona maghorofa ya vioo... Dar es salaam sasa inataka kuzidi mitaa ya Ulaya. Sijaenda Ulaya siku nyingi lakini sasa naona Ulaya inakuja Dar es salaam - Rais John Pombe Magufuli
😃😃😃😃😃😃

Maendeleo hayana vyama 🙏
 
"Nilikuwaga na texi bubu yangu nilikuwa napakigi pale" - Kumbe nawe ulikuwa mkwepa kodi🤣😂🤣
"Leo nikisema niendeshe kidogo wananizuia"

Safi sana Magufuli
 
Leo nilipokua nakuja nilipita Mwenge, nimeshangaa sana! Nimeshangaa! Ukigeuka kushoto kulia unaona maghorofa ya vioo... Dar es salaam sasa inataka kuzidi mitaa ya Ulaya. Sijaenda Ulaya siku nyingi lakini sasa naona Ulaya inakuja Dar es salaam - Rais John Pombe Magufuli
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Maendeleo hayana vyama [emoji120]
Duh kwa hiyo ukiona magorofa,barabara ya lami unashangaa [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Leo nilipokua nakuja nilipita Mwenge, nimeshangaa sana! Nimeshangaa! Ukigeuka kushoto kulia unaona maghorofa ya vioo... Dar es salaam sasa inataka kuzidi mitaa ya Ulaya. Sijaenda Ulaya siku nyingi lakini sasa naona Ulaya inakuja Dar es salaam - Rais John Pombe Magufuli
😃😃😃😃😃😃

Maendeleo hayana vyama 🙏
Kweli maendeleo hayana vyama.
 
Back
Top Bottom