Huyu ndiye rais wa wanyonge yule wa kwako zilikuwa mbwembwe tuNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
Wewe ni Great thinker. Unaona vitu amabavyo watanzania wengi hawavioni. Big upNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
Ulishatumia neno ange....... Inakuwa sio uhalisia.2015 tungeiweka ccm pembeni, lowasa angeiponya nchi?!
Huyu ndiye rais wa wanyonge yule wa kwako zilikuwa mbwembwe tu
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Wenye akili zao zinazojitegemea wanajua cha kufanyaNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
Chuma hawakiwezi hawa . Kilianza sarakasi from day one . Hawa wanajibiringisha last minutes wanadhani hatujui janja janja ya samiaNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge.