Huyu ndiye rais wa wanyonge yule wa kwako zilikuwa mbwembwe tuNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni Rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wananchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app