Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,191
Taifa halijapata msiba, msiba umetokea nchi jirani - Zanzibar
Yaani hapa naona malori makubwa yanaleta watu toka sehemu mbalimbali, kuja kuhudhuria kampeni zao CCM wananchi hapa Igunga wanamsemo wao sasa usemao.‎"UJINGA NI KURUDIA KOSA PINDI UNAPOPEWA NAFASI YA KUJISAHIHISHA"(Kauli ya wazee na vijana+mama kutoka IGUNGA.
CDM wanaweza kushinda iwapo CCM aka mafisadi wasipochakachua
Unaona Mwananchi katuonyesha hali halisi CCM haina washirika inasomba watoto na we fanya hivyo bro
Kama mw
Hii urgent call for all doctors and nurses to assist with the ZnZ Boat Accident mbona inatatanisha kwa habari nilizozipata kutoka kwa doctor alomaliza MD hivi juzi hapo muhimbili anadai walikuwa wameshaanza kukusanyana na kujiandikisha lakini Mkurugenzi kasema si suala la muungano labda wanzanzibar mpaka wawaombe,labda niliweke mezani wakuu mjaribu kutafuta information zaidi ya chanzo changu tujue ukweli wa jambo hili.
Hapo naona wanaostahili kupiga kura ni wawili tu ktk kundi zima hilo! Imekula kwa magamba hiyo, mweeeeeeeeeeeeee!
Hii urgent call for all doctors and nurses to assist with the ZnZ Boat Accident mbona inatatanisha kwa habari nilizozipata kutoka kwa doctor alomaliza MD hivi juzi hapo muhimbili anadai walikuwa wameshaanza kukusanyana na kujiandikisha lakini Mkurugenzi kasema si suala la muungano labda wanzanzibar mpaka wawaombe,labda niliweke mezani wakuu mjaribu kutafuta information zaidi ya chanzo changu tujue ukweli wa jambo hili.
nadhani una ugonjwa wa akili ila hujijui si kosa lakoHii sio hoja ya kujadiliwa na watu wazima hapa, mrusha thread nenda facebook kwa watoto wenzako haraka, "If you have nothing say nothing"
<br>Sura hiyo atawatisha sana ndugu zetu wa Igungahuyu ndiye anafaa kabisa kuokoa jahazi Igunga.hakuna mwingine.<br>
<br>
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36666&stc=1" attachmentid="36666" alt="" id="vbattach_36666" class="previewthumb"><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36666&stc=1" attachmentid="36666" alt="" id="vbattach_36666" class="previewthumb"><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36666&stc=1" attachmentid="36666" alt="" id="vbattach_36666" class="previewthumb">
Anza kuandika na herufi kubwa mbona uelewi wewe!!!