Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Too baaaad to note that hapa jamvini. Laiti ningalikua mmojawapo wasimamizi wa mijadala hapa jukwaani ningekupa BAN ya nguvu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kwa hivyo baadhi yenu wana-CCM Igunga ndivyo mnavyochukuli msiba huu mkubwa sana kita ili nyinyi muendele kuwasomba watoto wa shule za msingi kuja kuwashangilieni kwa jina tu la UZINDUZI WA KAMPENI YA KISIASA licha ya huzuni mzito uliotanda kote nchini?????????

Hakika ni vigumu saaaaaana kuamini hilo hata kidogo.

Taifa halijapata msiba, msiba umetokea nchi jirani - Zanzibar
 
Yaani hapa naona malori makubwa yanaleta watu toka sehemu mbalimbali, kuja kuhudhuria kampeni zao CCM wananchi hapa Igunga wanamsemo wao sasa usemao.‎"UJINGA NI KURUDIA KOSA PINDI UNAPOPEWA NAFASI YA KUJISAHIHISHA"(Kauli ya wazee na vijana+mama kutoka IGUNGA.
CDM wanaweza kushinda iwapo CCM aka mafisadi wasipochakachua

Mkuu rostam atakuwepo ktk hizo kampeni za hao wehu magamba?
 
Unaona Mwananchi katuonyesha hali halisi CCM haina washirika inasomba watoto na we fanya hivyo bro

Kama mw
305725_219111744811969_100001394361466_661647_911392601_n.jpg


Hapo naona wanaostahili kupiga kura ni wawili tu ktk kundi zima hilo! Imekula kwa magamba hiyo, mweeeeeeeeeeeeee!
 
Naomba hilo likurugenzi Muhimbili afungwe miaka 400 jela kwa roho yake mbaya hata kwa swala zito kama hili. Ni moyo gani huo wa kisheti uliomjaa hivo?????????????

Hii urgent call for all doctors and nurses to assist with the ZnZ Boat Accident mbona inatatanisha kwa habari nilizozipata kutoka kwa doctor alomaliza MD hivi juzi hapo muhimbili anadai walikuwa wameshaanza kukusanyana na kujiandikisha lakini Mkurugenzi kasema si suala la muungano labda wanzanzibar mpaka wawaombe,labda niliweke mezani wakuu mjaribu kutafuta information zaidi ya chanzo changu tujue ukweli wa jambo hili.
 
yatandikwa mambo mengi sana kwa sasa juu ya CHADEMA, na ccm hadi uchaguzi utakapokwisha igunga.
cha maana ni wewee mwanaigunga kutumia vizuri utashi wako wa kisiasa kumchagua mgombea unaeona ataikomboa igunga.
kwa mimi kwa kweli hapa hamnitoi, KASHINDYE WA CHADEMA lazima apate kura yangu, kama mtu ni mtashi wa siasa hatoichagua ccm kabisa..
 
Hapo naona wanaostahili kupiga kura ni wawili tu ktk kundi zima hilo! Imekula kwa magamba hiyo, mweeeeeeeeeeeeee!

Halafu kibaya zaidi hata hao wawili huenda hakuna hata mwenye kitambulisho cha kupigia kura...wamejitumbukiza ili kula fedha za Magamba
 
Nyumba ya kulala? ofisi? au ya biashara? Kama ni ofisi kwenye maeneo wanapoishi kina ff wengi, je watapenda makundi ya watu watakao wabugudhi, make humu tu wamekuwa mpira wa kona kwa wana CDM
 
Kazi kweli kweli je watoto ni wapiga kura au Ben anaboresha eneo la mkutano
 
hii kali kweli kiama inakaribia, kwa mtu mwenye akili kamwe hawezi kusema CCM imemkomBoa mtanania, MIAKA 50 jamani 50 nchi bado maskini kila nyanja huku wao wakijinufaisha,hata Rostam hakuwa mnafiki amekiri ni siasa uchwara,sijui leo atathubutu kuwepo?? wana igunga amkeni sasa ngoeni MAGAMBA YA KENGE inauma afu mtu bado anashabikia CCM?
WATANZANIA NI MASKINI TUNAELEWA HILI LAKINI TUNAOGOPA KUMTOA NTOKA PANGONI TUMCHOME MOTO NA MAGAMBA YAKE
 
Hii sio hoja ya kujadiliwa na watu wazima hapa, mrusha thread nenda facebook kwa watoto wenzako haraka, "If you have nothing say nothing"
 
<STRONG>Hii sio hoja ya kujadiliwa na watu wazima hapa,&nbsp; mrusha thread nenda facebook kwa watoto wenzako haraka, "<EM>If you have nothing say nothing</EM>"</STRONG>
 
Hii urgent call for all doctors and nurses to assist with the ZnZ Boat Accident mbona inatatanisha kwa habari nilizozipata kutoka kwa doctor alomaliza MD hivi juzi hapo muhimbili anadai walikuwa wameshaanza kukusanyana na kujiandikisha lakini Mkurugenzi kasema si suala la muungano labda wanzanzibar mpaka wawaombe,labda niliweke mezani wakuu mjaribu kutafuta information zaidi ya chanzo changu tujue ukweli wa jambo hili.

kuna watu wanaroho za kutu bana
 
As a great thinker... Sijaona connection kati ya Dini... Na CDM kunyimwa nyumba!...
 
Hii sio hoja ya kujadiliwa na watu wazima hapa, mrusha thread nenda facebook kwa watoto wenzako haraka, "If you have nothing say nothing"
nadhani una ugonjwa wa akili ila hujijui si kosa lako

hoja zakujadili hapa ni zipi we unaona ni sawa kupokea pesa kisha kurudisha eti kwa sababu ya chama unacho kipenda hakijapewa hiyo chance, jaribu kutafakari kwa kina hii post imekaaje

utoto bado unauota hadi sasa au ndiyo unatamani ku compasent, tatizo fikra zako zimeganda changamka mkuu ooh !!!!
 
Hii ya maroli imekua ndio hadithi ya chadema, vipi tena magwanda,wasiwasi umeshaanza nini? Mbona wanaccmhawaja lalamiki kuhusu hao wavuta bangi wenu wa Arusha walio mwagia mtu tindi kali?
 
Let's put the fact out: Sidhani kama ni shida sana kwa CCM, CDM au hata CUF kupata watu wa kutosha kukusikiliza. Kwanza wingi wa kukusanya watu, sio kukubalika kwa chama. Watanzania tunapenda sana kusikiliza mtu akiwa na kitu cha kusema, hususan mgeni yeyote akija na akasema ana jambo kubwa la kunena. Pili Igunda ina wapiga kura zaidi ya 50,000, waliojitokeza mwaka jana, hapo achilia mbali watoto, sidhani kama ni tatizo kwa mtu maarufu kama mkapa kupata watu elfu mbili tu, na hao ni wengi sana, na wanaweza kuufunika mji wote wa Igunga kwa ninavyoufahamu. Tusilete ushabiki, na kuondoa fact halafu mwishoni iwe kulalama.
 
huyu ndiye anafaa kabisa kuokoa jahazi Igunga.hakuna mwingine.<br>
<br>
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36666&amp;stc=1" attachmentid="36666" alt="" id="vbattach_36666" class="previewthumb"><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36666&amp;stc=1" attachmentid="36666" alt="" id="vbattach_36666" class="previewthumb"><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36666&amp;stc=1" attachmentid="36666" alt="" id="vbattach_36666" class="previewthumb">
<br>Sura hiyo atawatisha sana ndugu zetu wa Igunga
 
Magazeti yanayoandika ukweli tanzania yanazidi kupungua tuombe mungu yasiishe kabisa,mtu analipwa kwa kusema na kuandika uongo!nchi ya ajabu sana.lakini ukweli haufichiki daima.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom