Shoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Mizizi yake ni mikubwa sana DMP, hata kusini na huko kwaoShoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.
Hongera nyingi kwa Dkt. Malasusa, halafu hata watabiri hawakumtabiria kabisa huyu.
From the best of my knowledgeKatoliki maaskofu wanapigiwa Kura? Au wanapiga bila kupingwa?
Sawa.Hata kkkt vigezo ni hivyo.Na kwa maelezo haya inamaana na huko RC upo uchaguzi hata kama ni wa siri lakini upo kwani mmoja huchaguliwa kutoka miongoni. Hivyo scrutiny ipo labda mseme ni ya siriKanisa Katoliki hufuata biblia, historia na mapokeo. Hakuna uchaguzi wa maaskofu wala mapadre wala mashemasi. Maaskofu huteuliwa na Papa. Na wala hawana kipindi maalum cha kuhudumu.
Did the apostles appoint bishops?
In this context, Clement explicitly states that the apostles appointed bishops as successors and directed that these bishops should in turn appoint their own successors; given this, such leaders of the Church were not to be removed without cause and not in this way.
Who appointed the first bishop?
SO, Who was the First Bishop of Rome? According to the second-century Irenaeus, it was a man named Linus, who was appointed to the office by Peter and Paul (Against Heresies 3, 3, 3).
How do priests become bishops?
According to the Church's law, a bishop must be “outstanding in solid faith, good morals, piety, zeal for souls, wisdom, prudence and human virtues.” In addition, he should be of good reputation, at least 35 years old, ordained a priest at least five years earlier and in possession of a doctorate or licentiate
Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa!
Na maaskofu wasio makadinali wanawajibika wapi?From the best of my knowledge
Maaskofu wa katoliki wanateuliwa na papa baada ya mchakato mrefu.
Pia, hawana hicho cheo cha Askofu mkuu. Badala yake kila askofu ana mamlaka kamili kwenye jimbo lake. Anawaongoza maparoko, mapadri na watawa wengine ndani ya jimbo lake tu. Ni kama wabunge.
Kuhusu uchaguzi, upo wakati wa kuchagua viongozi wa Baraza lao la maaskofu (TEC). Lakini viongozi hao wa TEC hawana ukuu juu ya maaskofu wengine. Ni kama viongozi wa kamati za bunge.
Pia kuna baadhi ya maaskofu wana cheo cha ukadinali, mfano Pengo na Rugambwa. Hawa wanawajibika Vatican na sio viongozi wa maaskofu wengine. Ni kama mawaziri miongoni mwa wabunge.
Ameen!Kama mazuri.Malasusa alikuwa anamuogopa sana Askofu Mwaikali tu pale. Ndio maana wakafanya figisu zote za dunia kumtoa uaskofu Mbeya, na kisha jamaa kutimkia Kanisa la Kilutheri Afrika ya Mashariki (KKAM).
Wa Iringa.Nimemkumbuka Askofu Owdenburg Mdegela
Nakazia. Mnywa maji ya benderaMalafyale ni kada mtiifu kutoka Lumumba
[emoji851][emoji851] Hii imeenda......
Kana alimaliza muda wake kwanini alikuwepo kwenye kinyanganyiroShoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.
Hongera nyingi kwa Dkt. Malasusa, halafu hata watabiri hawakumtabiria kabisa huyu.
Wakatoliki wanaamini kwamba baadhi ya wale mitume 12 wa Bwana Yesu walikuwa ni maaskofu wa maeneo mbalimbali mfano Mt Petro sasa mbona tukisoma Biblia tunaona walipiga kura???Kanisa Katoliki hufuata biblia, historia na mapokeo. Hakuna uchaguzi wa maaskofu wala mapadre wala mashemasi. Maaskofu huteuliwa na Papa. Na wala hawana kipindi maalum cha kuhudumu.
Did the apostles appoint bishops?
In this context, Clement explicitly states that the apostles appointed bishops as successors and directed that these bishops should in turn appoint their own successors; given this, such leaders of the Church were not to be removed without cause and not in this way.
Who appointed the first bishop?
SO, Who was the First Bishop of Rome? According to the second-century Irenaeus, it was a man named Linus, who was appointed to the office by Peter and Paul (Against Heresies 3, 3, 3).
How do priests become bishops?
According to the Church's law, a bishop must be “outstanding in solid faith, good morals, piety, zeal for souls, wisdom, prudence and human virtues.” In addition, he should be of good reputation, at least 35 years old, ordained a priest at least five years earlier and in possession of a doctorate or licentiate
Sijui nime mkumbuka tu.....labda ange........Wa Iringa.
Hivi yuko wapi sikuhizi? Bado ni Askofu?