PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Shoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Hongera nyingi kwa Dkt. Malasusa, halafu hata watabiri hawakumtabiria kabisa huyu.