Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Shoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.
Hongera nyingi kwa Dkt. Malasusa, halafu hata watabiri hawakumtabiria kabisa huyu.
 
Katoliki maaskofu wanapigiwa Kura? Au wanapiga bila kupingwa?
From the best of my knowledge

Maaskofu wa katoliki wanateuliwa na papa baada ya mchakato mrefu.

Pia, hawana hicho cheo cha Askofu mkuu. Badala yake kila askofu ana mamlaka kamili kwenye jimbo lake. Anawaongoza maparoko, mapadri na watawa wengine ndani ya jimbo lake tu. Ni kama wabunge.

Kuhusu uchaguzi, upo wakati wa kuchagua viongozi wa Baraza lao la maaskofu (TEC). Lakini viongozi hao wa TEC hawana ukuu juu ya maaskofu wengine. Ni kama viongozi wa kamati za bunge.

Pia kuna baadhi ya maaskofu wana cheo cha ukadinali, mfano Pengo na Rugambwa. Hawa wanawajibika Vatican na sio viongozi wa maaskofu wengine. Ni kama mawaziri miongoni mwa wabunge.
 
Huu uzi una uwongo mwingi, hii nafasi huwa maxmum ni vipindi viwili . Shoo amemaliza muda wake. Kama mambo ya kanisa huyajui kaa tulia kwa nidhamu. Kwani ulitaka Kanisa litoe msimamo wa kukufurahisha wewe.
Kanisa la Mungu litaongozwa na roho mtakatifu. Panapo fukamoshi litatafuta maji ya kuzima na si kuweka petroli. Kanisa halipo kwenye ushindani. Bali lipo kurekebisha tabia, kuleta suluhu na kumcha Mungu.
 
Kanisa Katoliki hufuata biblia, historia na mapokeo. Hakuna uchaguzi wa maaskofu wala mapadre wala mashemasi. Maaskofu huteuliwa na Papa. Na wala hawana kipindi maalum cha kuhudumu.

Did the apostles appoint bishops?

In this context, Clement explicitly states that the apostles appointed bishops as successors and directed that these bishops should in turn appoint their own successors; given this, such leaders of the Church were not to be removed without cause and not in this way.

Who appointed the first bishop?

SO, Who was the First Bishop of Rome? According to the second-century Irenaeus, it was a man named Linus, who was appointed to the office by Peter and Paul (Against Heresies 3, 3, 3).

How do priests become bishops?

According to the Church's law, a bishop must be “outstanding in solid faith, good morals, piety, zeal for souls, wisdom, prudence and human virtues.” In addition, he should be of good reputation, at least 35 years old, ordained a priest at least five years earlier and in possession of a doctorate or licentiate
Sawa.Hata kkkt vigezo ni hivyo.Na kwa maelezo haya inamaana na huko RC upo uchaguzi hata kama ni wa siri lakini upo kwani mmoja huchaguliwa kutoka miongoni. Hivyo scrutiny ipo labda mseme ni ya siri
 
From the best of my knowledge

Maaskofu wa katoliki wanateuliwa na papa baada ya mchakato mrefu.

Pia, hawana hicho cheo cha Askofu mkuu. Badala yake kila askofu ana mamlaka kamili kwenye jimbo lake. Anawaongoza maparoko, mapadri na watawa wengine ndani ya jimbo lake tu. Ni kama wabunge.

Kuhusu uchaguzi, upo wakati wa kuchagua viongozi wa Baraza lao la maaskofu (TEC). Lakini viongozi hao wa TEC hawana ukuu juu ya maaskofu wengine. Ni kama viongozi wa kamati za bunge.

Pia kuna baadhi ya maaskofu wana cheo cha ukadinali, mfano Pengo na Rugambwa. Hawa wanawajibika Vatican na sio viongozi wa maaskofu wengine. Ni kama mawaziri miongoni mwa wabunge.
Na maaskofu wasio makadinali wanawajibika wapi?
 
Malasusa alikuwa anamuogopa sana Askofu Mwaikali tu pale. Ndio maana wakafanya figisu zote za dunia kumtoa uaskofu Mbeya, na kisha jamaa kutimkia Kanisa la Kilutheri Afrika ya Mashariki (KKAM).
Ameen!Kama mazuri.
 
Kanisa Katoliki hufuata biblia, historia na mapokeo. Hakuna uchaguzi wa maaskofu wala mapadre wala mashemasi. Maaskofu huteuliwa na Papa. Na wala hawana kipindi maalum cha kuhudumu.

Did the apostles appoint bishops?

In this context, Clement explicitly states that the apostles appointed bishops as successors and directed that these bishops should in turn appoint their own successors; given this, such leaders of the Church were not to be removed without cause and not in this way.

Who appointed the first bishop?

SO, Who was the First Bishop of Rome? According to the second-century Irenaeus, it was a man named Linus, who was appointed to the office by Peter and Paul (Against Heresies 3, 3, 3).

How do priests become bishops?

According to the Church's law, a bishop must be “outstanding in solid faith, good morals, piety, zeal for souls, wisdom, prudence and human virtues.” In addition, he should be of good reputation, at least 35 years old, ordained a priest at least five years earlier and in possession of a doctorate or licentiate
Wakatoliki wanaamini kwamba baadhi ya wale mitume 12 wa Bwana Yesu walikuwa ni maaskofu wa maeneo mbalimbali mfano Mt Petro sasa mbona tukisoma Biblia tunaona walipiga kura???

23.Matendo ya Mitume 1:23-26 Wakaweka wawili, Yusufu, aitwaye Barsaba, aliyekuwa na jina la pili Yusto, na Mathiya.

24.Kisha wakaomba, wakasema, Wewe, Bwana, ujuaye mioyo ya watu wote, tuonyeshe ni nani uliyemchagua katika hawa wawili,

25. ashike mahali katika huduma hii na utume huu, alioukosa Yuda, aende zake mahali pake mwenyewe.

26.Wakawapigia kura; kura ikamwangukia Mathiya; naye akahesabiwa kuwa pamoja na mitume kumi na mmoja.
 
Back
Top Bottom