Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Yani wangewachukulia fedha yote ingekuwa la maana sana. Hebu 2subirie serikali legelege itasemaje.
 
Naona bwawa mbele yangu kuna ng'ombe wanakunywa maji na kuna wananch wanachota maji kwa matumiz yao ya nyumbani-MWANDISH WA MLIMANI TV
 
Kama ni kweli Polisi wamewageuzia kibao hao walinzi ni aibu kwa jeshi la Polisi mtu hawezi kuteka gari na kulipeleka Polisi .
 



Habari punde hii kutoka igunga zinasema vijana walinzi wawili wa CDM wanashikiliwa na polisi mjini Igunga kwa kile polisi wanachodai kuwa walitaka kuliteka gari la wafuasi wa CCM ambalo nalo polisi wanalishikilia.

Walinzi hao walifika eneo la Simbo na kukuta kundi dogo la wafuasi wa CCM wakigawa fedha karibu na zahanati ya Simbo.

Baada ya vijana hao kuwashtukia pale ghafla wale watu wa CCM waliamua kutimua mbio na kuliacha gari lao na vijana wa CDM wakaamua kulichukua na kuliendesha hadi kituo cha polisi.

Baada ya upekuzi polisi walikuta mfuko wa plastiki (Rambo) ndani yake mkiwa Sh 20 milioni ambazo ndizo zilikuwa zinagawaiwa kwa watu au wafuasi wa CCM.

Hivyo vijana hao wamegeuziwa kibao na polisi kama kawaida yao na hivyo wameambiwa wameliteka nyara hilo gari.
Hamna shida wawakamate watanzania wote waweke ndani.
Saa ya ukombozi imefika!!! Kumwaga damu kwa ajili ya hawa wezi si kosa ni ushujaa!
 
Naona bwawa mbele yangu kuna ng'ombe wanakunywa maji na kuna wananch wanachota maji kwa matumiz yao ya nyumbani-MWANDISH WA MLIMANI TV akiongea kutoka wanzugi(IGUNGA) pembezoni
 
zoezi limekamilika baada ya dk 10, ile wale waliokuwqa kwenye foleni waliendelea na waliokuwa wanakuja baada ya saa 10.00 hawakuruhusiwa kupiga kura
 
Naona bwawa mbele yangu kuna ng'ombe wanakunywa maji na kuna wananch wanachota maji kwa matumiz yao ya nyumbani-MWANDISH WA MLIMANI TV

Kesho lazima itoke kwenye Supamix, au siyo?
 
Hawa polisi nao sasa nadhani wanahitaji kushughulikiwa. Huo mchezo wa kuwageuzia dhambi watu wema inaelekea hawajauanza leo au huko Igunga, wapo zaidi kwa maslahi ya CCM na sio kwa maslahi ya nchi.

Vijana wa CDM nawapa hongera sana, msikatishwe tamaa, pamabaneni mpaka dakika ya mwisho, siku si nyingi tutawapoteza wote hao.
 
Vijana wengi walikuwa mamluki kutoka mikoani kama Arusha Mjini, Hai, Moshi Mjini, Karatu, Ilemela, Nyamagana, Kawe, Ubungo, mbeya mjini, iringa mjini etc.

Sasa kwa akili za kawaida tu, hawa hawawezi kushiriki kwenye sanduku la kura.
 
Uchunguzi uliofanyika katika vituo zaidi ya 250 unaonesha kuwa vijana waliojitokeza kupiga kura <40(chini ya miaka 40) walikuwa wachache takribani asilimia 30 TU, huku wengi wakiwa kina mama na wazee.

umesahau kusema na watoto....ambao ni rahisi kudanganywa na taarabu za magamba...
 
Tuvute subra.
Hakika wazee na akina mama hawa wakifanya kile kisichotarajiwa na wengi, yaani kutufanikishia ukombozi kwa kuchagua chadema, itakuwa ni adhabu tosha kwa vijana wanaojiita 'jembe' huku wakikwepa jukumu lao la ukombozi.
Ukweli utasimama daima kuwa hata wao vijana wakiwa vikwazo vya mabadiliko, kama ni wakati umefika, vikongwe watafanikisha tu.
Kila la kheri cdm igunga towards country's evacuation four years to come.
 
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Igunga amesema wataanza kujumlisha matokeo ya kura kuanzia saa 2 usiku, amesema matokea yanaweza kutolewa kuanzia saa 6 usiku.....
 
Tuvute subra.
Hakika wazee na akina mama hawa wakifanya kile kisichotarajiwa na wengi,
Ukweli utasimama daima kuwa hata wao vijana wakiwa vikwazo vya mabadiliko, kama ni wakati umefika, vikongwe watafanikisha tu.
Kila la kheri ccm igunga towards country's evacuation four years to come.

Wazee na kinamama wanapiga kura, vijana kazi yao kulinda kura, navyoongea na wewe sasa wameanza kuja vituoni baada ya vituo kufungwa ili walinde kura,

btw, kura ambazo hawakupiga.
 
magayane alipoulizwa ni kwa nini mtu mmoja amepiga kura ilihali hana kadi ya kupigia kura,...alisema...kwa kuwa mtu huyo amesaini for namba 17,basi kura yake imeharibika!!!! sasa hapa najiuliza ina maana mtu akishapiga kura pale kweye karatasi aliyopigia kura inakuwa inaonesha jina la mtu aliyepiga kura?.....he also thinks in a crap way!!!!
 
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration

LOL, kuna mambo humu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom