LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
Yani wangewachukulia fedha yote ingekuwa la maana sana. Hebu 2subirie serikali legelege itasemaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna shida wawakamate watanzania wote waweke ndani.
Habari punde hii kutoka igunga zinasema vijana walinzi wawili wa CDM wanashikiliwa na polisi mjini Igunga kwa kile polisi wanachodai kuwa walitaka kuliteka gari la wafuasi wa CCM ambalo nalo polisi wanalishikilia.
Walinzi hao walifika eneo la Simbo na kukuta kundi dogo la wafuasi wa CCM wakigawa fedha karibu na zahanati ya Simbo.
Baada ya vijana hao kuwashtukia pale ghafla wale watu wa CCM waliamua kutimua mbio na kuliacha gari lao na vijana wa CDM wakaamua kulichukua na kuliendesha hadi kituo cha polisi.
Baada ya upekuzi polisi walikuta mfuko wa plastiki (Rambo) ndani yake mkiwa Sh 20 milioni ambazo ndizo zilikuwa zinagawaiwa kwa watu au wafuasi wa CCM.
Hivyo vijana hao wamegeuziwa kibao na polisi kama kawaida yao na hivyo wameambiwa wameliteka nyara hilo gari.
Naona bwawa mbele yangu kuna ng'ombe wanakunywa maji na kuna wananch wanachota maji kwa matumiz yao ya nyumbani-MWANDISH WA MLIMANI TV
Uchunguzi uliofanyika katika vituo zaidi ya 250 unaonesha kuwa vijana waliojitokeza kupiga kura <40(chini ya miaka 40) walikuwa wachache takribani asilimia 30 TU, huku wengi wakiwa kina mama na wazee.
umesahau kusema na watoto....ambao ni rahisi kudanganywa na taarabu za magamba...
au vijana wanangoja jioni jioni?
Tuvute subra.
Hakika wazee na akina mama hawa wakifanya kile kisichotarajiwa na wengi,
Ukweli utasimama daima kuwa hata wao vijana wakiwa vikwazo vya mabadiliko, kama ni wakati umefika, vikongwe watafanikisha tu.
Kila la kheri ccm igunga towards country's evacuation four years to come.
alfred masako na fatma nyangasa wanajaribu kuchambua mchakato wa jinsi upigaji kura unaoendelea huko igunga. huyu mpigapicha anavyomuonyesha fatma kwa nyuma tu, anaharibu concetration
Duh...wangechukua hela wakaondoka nazo. wamefanya ujinga sana