Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
- Thread starter
-
- #61
Ondoa wazo la kurogwa..Labda CHADEMA tuwe tumerogwa! Gwajima?
sio mdoto nimipangoNdoto za mchana hizo kakojoe kwanza usije ukashusha "kimba"
Nimetumia "J" Ili kupunguza mihemko.Ume text-narrate vizuri sana..
Lakini huyu nabii hajaficha jina kwa herufi "J"
Amemtaja kwa uwazi kabisa kuwa ni Josephat Gwajima...
Sio baada ya miaka mi5..Ninaposema chaguo la Mungu ni wakati wa sasa ,baada ya miaka 5 ni ishu nyingine anaweza asiwepo...Yote sawa.
Yes, I agree. Nisome hapo juuβπ»βπ»βπ»Kwa wakati uliopo ilipangwa ndio maana hata kifo cha Magufuli hakikutarajiwa ni mpango wa Mungu ambao upo nje ya uwezo wetu.
Na hili nakubaliana na wewe.Lolote linaweza kutokea ,humu ndani kuna jamaa aliandika utabiri wa Mwanamke haswa Samia kushika usukani ,hatuwezi kudharau hatujui lolote .
Mafi yakeNB:
Naomba moderators tafadhali ruhusuni mada hii ijadiliwe. Msiogope, haina madhara yoyote kwenu na JF kwa sbb hii ni kitu halisi na mtu aliyetoa unabii huu yupo na anaweza kuulizwa na kuthibitisha haya
==============================================
Ukiitazama na kuisikiliza hii video ya unabii huu toka kwa Mwl. Steven Jacob, toka Arusha, inafikirisha na kutafakarisha kiasi chake. Tazama na sikilizaππ»ππ»π
View attachment 2969906
Kwa ufupi sana kwa wale wasio na vifurushi:
1. Mama Samia Suluhu Hassan (Rais wa sasa wa JMT) amekataliwa na Mungu - Jehovah, hatakiwi kugombea kiti cha Urais mwaka 2025. Si chaguo la Mungu - Jehova kuiongoza Tanzania mwaka 2025 - 2030..
2. Pamoja na kuwa ameshakataliwa, kitakachokuwa ni ajabu ni kuwa yeye na watu wake watalazimisha agombee. Na kwa mujibu wa unabii huu, ni kuwa atapitishwa kwa hila, atagombea lakini habari njema kwa wanamageuzi wote ni kuwa HATASHINDA UCHAGUZI HUO..!
3. Wakati huohuo ndani ya CCM yupo mtu ambaye Mungu keshamweka kuwa ndiye agombee na awe Rais ajaye wa Tanzania na jina lake katajwa kwa uwazi kabisa kuwa ni Bishop Josephat Gwajima. Ila wenzake ndani ya CCM watamkataa na hawatampa nafasi hiyo..
4. Kwa mujibu wa unabii huu, CHADEMA hawana mtu ambaye ana kibali cha Mungu - Yehova kugombea kiti cha u - Rais mwaka 2025 aliye ndani ya chama chao..
5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..
6. Kwa Mama Samia Suluhu Hassan na CCM , unabii unasema, systematically Mungu ataachilia aibu iliyo kuu kwake na CCM itachinjwa kidogo kidogo mpaka ife kabisa..
============================================
MAONI YANGU
1. Pamoja na kuwa sisi wakristo Biblia - Neno la Mungu linatuonya kuwa;
β1 Wathesalonike 5:20-22 SUVβ¬
".....msitweze unabii; jaribuni mambo yote; lishikeni lililo jema; jitengeni na ubaya wa kila namna.."
Lakini wakati huohuo Biblia hiyo hiyo inatuhadharisha kuwa ni lazima kila unabii (kila roho isemayo yatoka kwa Mungu) ipimwe katika vigezo vya Neno la Mungu (Biblia) kama ilivyoandikwa;
β1 Yohana 4:1-2 SUVβ¬
"...Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani. Katika hili mwamjua Roho wa Mungu; kila roho ikiriyo kwamba Yesu Kristo amekuja katika mwili yatokana na Mungu.."
Ukipimwa na ukaenda sambamba na Neno la Mungu, huo unabii au hiyo roho iliyoleta neno hilo itakuwa inatoka kwa Mungu na kwa hiyo hapaswi mtu kuubeza (kuutweza au kuudharau)..
2. Unabii wa huyu ndugu ni mzito sana. Unahusu hatima ya nchi na taifa letu na watu wa nchi hii kwa ujumla. Natoa wito kwa wajuzi wa maandiko (Neno la Mungu) waje hapa na kutoa uchambuzi usio - base katika hisia na maarifa ya kibinadamu bali ule unaozingatia Neno la Mungu (Biblia...)
3. Je, wewe unasemaje? Toa maoni yako...
Ofcoz, hata mimi natamani na nataka nchi hii iongozwe na Rais mcha Mungu..Nimetumia "J" Ili kupunguza mihemko.
Watu wengi wenye Roho wa Mungu, wamekwishaonyeshwa huyo ndiye ajaye.
Dunia inakwenda kupitia kipigo Cha miaka Saba, sasa Hadi 2030.
Tanzania, ndio Nchi Mungu ameiandaa Ili Ile INJILI ya ufalme sawasawa na Mathayo 24 ihubiriwe tokea hapa.
Inakwenda kurudisha dini Moja/ Kanisa la kwanza litarudi kuabudu J1.Wakristo, Na Hilo Kanisa ndilo litapambana na Mpinga kristo.
KITI hicho kikuu anataka akae Mungu mwenyewe Ili apambane na USHOGA, na Kila aina ya mifumo ovu ya kishetani iliyoko duniani.
Hayupo mwingine awezaye vita hiyo zaidi ya "J".
Kwa miaka 7 ijayo, Mungu akujaalie uhai, utaona mambo ambayo hayajawahi tokea Ulimwenguni, nadhani umeona mafuriko Dubai, uarabuni nk nk, Bado yaja.
Tusubiri.
Kwa upande wako ila CCM ndio imefeli kwa ujumla ,save post yanguSio baada ya miaka mi5..
Huyu mama aliwekwa ktk kipindi hiki cha mpito ili tu ku - comply na takwa la kikatiba la kuwa VP atakuwa full president kama Rais aliyepo atafariki akiwa madarakani na kumalizia muda uliobaki..
Narudia tena kusema, huyu mama mwisho wake ni 2025. Hata kwa akili za kibinadamu tu ni kuwa huyu hawezi na amesha prove failures...
Yes, I agree. Nisome hapo juuβπ»βπ»βπ»
Na hili nakubaliana na wewe.
Hata Josephat Gwajima anaweza kuwa Rais wa Tanzania kupitia CHADEMA..
Mungu anaweza kufanya yote. Anaweza kugeuza lolote kuwa chochote...
Nabii Samwel aliyepeleka ujumbe Kwa Daudi kuwa atakuwa mfalme alikuwa mwana mfumo?Tunaomba CV yake.
Asijekuwa mwanamfumo maana mara chache Mungu amejihusisha na mambo vyama vingi.
Manabii washakaji wa Trump walifanya sana haya wakati wa uchaguzi.
Mafi yake
In other words,Ofcoz, hata mimi natamani na nataka nchi hii iongozwe na Rais mcha Mungu..
Askofu Josephat Gwajima ni mtu sahihi. Na iwe hivyo, aminaππ»ππ»ππ»ππ»..!!
.This is very terrible...!
Yaani wewe hiki ndicho pekee unachoweza kuandika???
Kichwa chako chote hicho kimejazwa na hiki pekee?
Hiyo kesi haina uhusiano. Samweli alienda direct kwenye matokeo na na kumsema muhusika ( Mfalme ajae).Nabii Samwel aliyepeleka ujumbe Kwa Daudi kuwa atakuwa mfalme alikuwa mwana mfumo?
Hivi wewe hujui Cheo Cha Urais ni Cheo Cha Mungu Mwenyewe huruhusu watu kukikalia Ili kuongoza watu?
Usidanganywe kuwa Utawala wa Serikali za WANADAMU kuwa Mungu Huwa Hana mkono wake humo.
Open your eyes and see!!
5. Na kwa kuwa Mungu tayari ameshampaka mafuta ya u - Rais wa nchi hii ndugu Josephat Gwajima, na kwa CCM watakuwa wamemkataa, basi Mungu atatengeneza mazingira ya kumtoa CCM na mara moja Freeman Mbowe au CHADEMA watampa nafasi ya ugombea u - Rais na CHADEMA kupitia kwa Ndugu Josephat Gwajima, watashinda na kuitawala nchi kwa mara ya kwanza..