King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Heheheh inabidi umeze maneno yako da mkubwa. Habari ndo hiyo, femokrasia imeshaamua.
Mpira wa Tanzania umekufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira wa Tanzania umekufa.
Kama ni kweli ndo matokeo basi Hukumu za wiki hii pale nonihino ni nyundo tuu
Eti oooh Nyamlani ndio mgombea pekee wa Urais TFF! Kiko wapi sasa?
FIFA oyeeeee! Sasa hata Michael Wambura atakuwa na haki ya kugombea TFF.
Mpira wa Tanzania umekufa.
kwanza hongera ntaendelea kuchangia soka letu. Pili Michael Wambura is the right katibu as of now. Huyo mgonjwa Malebeja aende rasmi kwa matibabu hatuhitaji wagonjwa Tff. Marsh ,Kibaden na Mkwasa kwenye technical ya Tff ondoa Kayuni mbona raha. Nina Imani full charge.
Kwishney Jamal Malinzi kura 73,Nyamlani 53.kwisha habari yake huyu hakimu mla rushwa.
Mpira wa Tanzania umekufa.
Le Mutuz.......Wagombea wake wote tupa kule.....
Nyamlani, Mosha, Pinto........
Mpira wa Tanzania umekufa.
Malinzi muhuni tuu hafai kuongoza soka letu...ataliuwa kama alivyouwa ngumi na upromota wake. Tatizo baadhi ya waandishi wa habari uchwara weshakula hela zake wanampigia debe kanjanja mwenzao.
Hongera ulieshinda.wagombea wote wa nafasi yenu,hamfai,kule kadambili hukufanya cha maana je hapa?.
Le Mutuz.......Wagombea wake wote tupa kule.....
Nyamlani, Mosha, Pinto........
Watu wanaangalia maendeleo ya soka, wao wanaangalia ubishoo....Upedesheee........Mara zote nimuonapo huyo bwana akitafuta fursa fulani, binafsi mara zote huwa naamini kuna ulaji aumendeao.
Nilipomuona wakati Nyamlani akinadi sera zake pale Maelezo nikajua kuna namna watu wale wanataka kuutumia Urais wa TFF kisiasa.