Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Eti oooh Nyamlani ndio mgombea pekee wa Urais TFF! Kiko wapi sasa?

FIFA oyeeeee! Sasa hata Michael Wambura atakuwa na haki ya kugombea TFF.

Kuna mahala nilisoma jana kuwa baadhi ya wajumbe hawamtaki Malinzi kisa eti akishinda lazima Michael Wambura awe katibu mkuu. Sasa Malinzi kashinda ngoja tusubiri kama mzee wa zengwe Wambura atakuwa mtendaji mkuu wa TFF.
 
kwanza hongera ntaendelea kuchangia soka letu. Pili Michael Wambura is the right katibu as of now. Huyo mgonjwa Malebeja aende rasmi kwa matibabu hatuhitaji wagonjwa Tff. Marsh ,Kibaden na Mkwasa kwenye technical ya Tff ondoa Kayuni mbona raha. Nina Imani full charge.
 
Sure, Kayuni ndo awe wa kwanza kuondoka miaka yote hamna hata changes...... Na haya mabadiliko yafike na mikoani maana na viongozi wa soka wa Wilaya na mikoa ni majanga!!!!!!
 
Congratulates ingawa hajajibu maswali yangu kule kwenye thread yangu
 
Nafurahi kuona Tenga na watu wake wamesikia kilio cha Watanzania....
 
Le Mutuz.......Wagombea wake wote tupa kule.....

Nyamlani, Mosha, Pinto........
 
Kwishney Jamal Malinzi kura 73,Nyamlani 53.kwisha habari yake huyu hakimu mla rushwa.

Niliamua kulala baada ya kuona watu wengi wakkimtabiria mema J.M.

Baada ya kuamka nikakutana habari njema kama hizi kwa wana familia wa soka.

Sasa kwa heshima ya wanasoka wote, Ndg J.M inampasa atekeleze walau 60% ya yale yote aliyoyahaidi katika ngwe hii ya awali ya hatamu ya Urais.
 
Maccm yalikuwa yanamuunga mla rushwa arif mtegemee kushinda.
 
Le Mutuz.......Wagombea wake wote tupa kule.....

Nyamlani, Mosha, Pinto........

Mara zote nimuonapo huyo bwana akitafuta fursa fulani, binafsi mara zote huwa naamini kuna ulaji aumendeao.

Nilipomuona wakati Nyamlani akinadi sera zake pale Maelezo nikajua kuna namna watu wale wanataka kuutumia Urais wa TFF kisiasa.
 
Watu wanaangalia maendeleo ya soka, wao wanaangalia ubishoo....Upedesheee........

Waende kwa Lundenga, sio TFF......

Nafurahi kuona wajumbe wa TFF wameelimika sana.....

Tenga na Osiah walikuwa wanawaburuza sana wajumbe, wanaiendesha TFF watakavyo (rejea sakata la marekebisho ya Katiba ya TFF)....
 
Back
Top Bottom