Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

Hii research yako umetumia methodology ipi na study tools gani kufikia kwenye hayo majawabu?
 
Ili Chadema ife ni Lazima Mbowe ashinde
Nope. Whoever wins, CHADEMA dies. Btw, do you care? Do you give a hoot?

In fact, CHADEMA is caught in the crurrent crossfire of those moronic idiots. I find it hard to believe that the learned gentlemen can behave so erratically, so naively, with no sense of logic, cause or strategy.

Very sadly, the ONLY Party that carried the hopes of majority progressive and patriotic Tanzanians for decades is slowly bleeding to obscurity and certain death, ultimately.🙁
 
Mbowe anasaidiwa na Samia akitumia dola hivyo mimi sitashangaa sana kama atashinda. Lakini bado tu tutaendelea kumshukuru Lissu kwa sababu ametufungua macho na tumejua Mbowe na baadhi ya wafuasi wake ni watu wa aina gani. Kama siyo hivyo tungeendelea kuzungusha ngumi mpaka mikono ichomoke. Na pia tutakuwa tumechambua mchele na pumba kwa sababu tutajua CHADEMA ya Mbowe ni CCM B. Kwa kifupi tunashukuru sana sana kwa sababu maisha hayatakuwa tena kama Mbowe alivyozoea kutudanganya. Hivi unajua hata kwenye kitabu cha Kabendera kaandika utapeli wa Mbowe? Kuwa, helkopta aliyokuwa anatumia wakati wa kampeni ililipiwa na Kikwete na yeye akaja tena CHADEMA kudai fedha na kusema kaikodisha yeye? Kitabu kimeandikwa siku nyingi na Kabendera hana ugomvi wowote na Mbowe. Amemsingizia?
 
Wajumbe wa Chadema wangekuwa na akili timamu...

Wangepita katikati ya Mbowe na Lissu, wachague mgombea asiye na jina...

Hawatokiokoa chama pekee bali watajikuta wamewapatanisha Mbowe na Lissu indirectly...

Na hivyo ndivyo chama kitapona.
 
Kichaa kimempata mgonjwa wake 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…