Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

Uchaguzi Mkuu wa Mwenyekiti Taifa na wagombea wengine mpaka muda huu Mbowe anaongoza kwa 81.5%

CCM wasipompa support Jamaa Yao anaenda kupasuka vibaya Sana.. Ushindi wa MH MBOWE upo mikononi mwa CCM wao ni wazoefu wa minutes zote za uchaguzi safi na chafu..
Kwa Hali ilivyo MH MBOWE anaitaj mbinu chafu aweze kushinda nafasi hii
 
Heshima sana wanajamvi.

Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3%

Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa.

Ngongo kwasasa Mikocheni.
Haahaa kitakachotokea mlimani city watu hawataamini, nimegundua viongozi wengi wa Kanda hawakubaliki na viongozi wa majimbo na wilaya, lissu uchaguzi ukiwa huru na wazi atashinda, muda utasema
 
Mbowe amegawa hela hadi kwa wajumbe walioko zanzibar lakini amesahau jambo moja tu kwamba wajumbe hawajawahi kuwa watu wazuri.,
Haahaa Kuna wengi wanasema mbowe baada ya uchaguzi huu hataamini, hata kama viongozi wote wa Kanda walimpa kura mbowe hashindii
 
Heshima sana wanajamvi.

Baada ya tathimini ya hali ya juu kutoka kanda 8 Mhemiwa Mbowe anaongoza 81.5% huku mshindani wake mkuu Mheshimiwa Lissu akiambulia 17.3%

Wajumbe wengi wameonyesha msimamo wa kumuunga Mwenyekiti mkono kwa wivu mkubwa.

Ngongo kwasasa Mikocheni.
Tundu Lisu atashindwa kwa fedhaha sana uchuguzi huo hasa baada ya kumtumia Mzee Slaa kama kampeni meneja wake kwa wajumbe 🐒
 
Tundu Lisu atashindwa kwa fedhaha sana uchuguzi huo hasa baada ya kumtumia Mzee Slaa kama kampeni meneja wake kwa wajumbe 🐒
...pole mkuu, mikoa mingi wajumbe wanataka mabadiliko, mbowe huu uchaguzi namhurumia Sana, watu wanataka mabadiliko
 
Ngongo na wewe naye ni Shabiki wa FAM na sio Mwanachana wa CHADEMA. Mpaka leo hatujasikia hoja za FAM atafanya nini endapo ataendelea kuwa Mwenyekiti?

Mbona TAL kashatoa hoja zake na ndio zinazowavutia Wajumbe wengi na kutaka kufanya maamuzi sahihi kuelekea siku ya Uchaguzi tarehe 21.

Aisee maisha ya Kitanzania bila unafiki hayaendi kabisa.
 
Back
Top Bottom